Friday , July 20 2018

Home / MCHANGANYIKO / BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MANYARA,JOEL BENDERA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MANYARA,JOEL BENDERA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Aminiel Eligaisha amethibitisha kifo chake na kueleza kuwa Bendera alifikishwa hospitalini hapo Saa 6 mchana na kupelekwa katika wodi ya magonjwa ya dharura na ilipofika saa 10:24 jioni alifariki dunia.

Marehemu amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, pia Mbunge wa Morogoro, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kwenye Serikali ya Awamu ya Tatu.

 

About Alex

Check Also

rpc nley

WATU 18 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI TABORA

NA TIGANYA VINCENT TABORA POLISI Mkoa wa Tabora linawashikiria watu 18 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

7 + 7 =