Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 07

Daily Archives: December 7, 2017

Waziri Prof. Mbarawa Awapa Hadi Feb 1, 2018 Wadaiwa JNIA

DSC_3261

Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (katikati mbele) akiwa katika chumba cha mikutano cha Kampuni ya ujenzi ya Kimataifa ya Uholanzi (BAM) linalojenga Jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBIII) alipofanya ziara. (Wa kwanza kushoto) ni Kaimu …

Read More »

MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII KUFIKISHWA MAHAKAMANI WIKI IJAYO

IMG_6252

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es Salaam. Mzigo ambao mpaka sasa umeshakamatwa ukiwa umeifadhiwa. Picha/Habari na Kajunason/MMG-Dar es Salaam. Maharamia wa kazi za wasanii zaidi ya 200 waliokamatwa katika zoezi laukamataji kazi feki za sanaa …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AWASILI DODOMA LEO

dom1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Satano Mahenge alipowasili Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Novemba 7, 2017 tayari kwa shuguli mbalimbali za kikazi. PICHA NA IKULU. …………..

Read More »

ELIMU YA MAANDALIZI ISIPUUZWE

AWATIF GHALIB AWADH

Na Salum Vuai, MAELEZO WALIMU wakuu wa skuli za Zanzibar wametakiwa kutambua hadhi ya elimu ya maandalizi badala ya kuipa kisogo na kuwatenga walimu wanaosomesha madarasa hayo. Ofisa Mdhamini wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Elimu Pemba Salum Kitwana Sururu, amesema elimu hiyo ndio msingi mzuri wa kumjenga mtoto. …

Read More »

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awaapiasha Naibu Katibu Mkuu na Wakuu wa Mkoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba Ikulu leo.

DSC_6662

BAADHI ya Mawazirui wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Miko wa Kusini Unguja na Kusini na Pemba Ikulu Zanzibar leo. MAKAMANDA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa wa Mikoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba leo Ikulu WATEULE wa Nafasi …

Read More »

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA KODI ZINAZOIKABILI SEKTA BINAFSI

IMG_6962

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (Mb) , akitolea ufafanuzi masuala kadhaa yanayohusu changamoto za kodi katika Sekta Binafsi wakati wa mkutano kati ya Serikali na Sekta hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango mjini Dodoma Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini ambaye …

Read More »

WAZIRI MKUU AMALIZA MGOGORO WA LOLIONDO

PMO_1944

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa matumizi ya pori tengefu la Loliondo ambao umedumu kwa takriban miaka 26.   Hatma hiyo imefikiwa jana (Jumatano, Desemba 6, 2017) kwenye kikao kilichoitishwa na Waziri Mkuu ofisini kwake Mlimwa, Manispaa ya Dodoma ili kutoa mrejesho uliofikiwa na Serikali kuhusu utatuzi wa mgogoro …

Read More »

VIDEO:RC RUVUMA ATOA WITO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI

unnamed

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME amewataka wafanya biashara wote nchini kuja mkoani ruvuma kununua mahindi,tamko la kutaka wafanya biashara kuja mkoani ruvuma linakuja baada ya serikali ya awamu ya tano kufungua mipaka kwa ajili ya wafanyabiashara waweze kupeleka mahindi nje ya nchi HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA

3

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya “NCHI YANGU KWANZA” uzinduzi huo utafanywa  na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Desemba 08, 2017 …

Read More »

MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA AMALIZA HOFU YA WAFANYABIASHARA 2,500

MMD

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Sabasaba (hawapo pichani) Mjini Dodoma jana ambapo aliwahakikishia kuwa hawatahamishwa katika soko hilo.  Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya DodomaJumanne Ngede akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Sabasaba Mjini Dodoma jana ambapo alifuatana na …

Read More »