Wednesday , October 17 2018

Home / MCHANGANYIKO / Dk Salim Atoa Neno Juu Ya Mgogoro Wa Palestina Na Israel

Dk Salim Atoa Neno Juu Ya Mgogoro Wa Palestina Na Israel

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika mgogoro wao na taifa la Israel ilipomtembelea ofisini kwake.

 

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika mgogoro wao na taifa la Israel ilipomtembelea ofisini kwake. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo.

 

Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim.

 

Sehemu ya wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim.

 

Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakimkabidhi Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kulia) kitabu cha picha za historia ya Waparestina na mgogoro huo.

 

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kushoto) katika picha ya kumbukumbu na Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina mara baada ya mazungumzo.

 

Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakimkabidhi Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kulia) kitabu cha picha za historia ya Waparestina na mgogoro huo.

About Alex

Check Also

index

Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi wa Uganda,Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × 2 =