Friday , December 15 2017

Home / MCHANGANYIKO / MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UHURU

MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UHURU

PIC 01

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama  akitoa maelezo kwa  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Wajumbe wa Kamati ya  Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru za tarehe 9 Desemba juu ya hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya hayo mjini Dodoma leo tarehe 7/12/2017.

PIC 02

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama  akitoa maelezo kwa  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru mjini Dodoma leo tarehe 7/12/2017.

PIC 03

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru mjini Dodoma leo tarehe 7/12/2017.

PIC 04

Mkurugenzi wa Idara ya Madhimisho Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Flora Mazerengwe akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru mjini Dodoma leo tarehe 7/12/2017.

PIC 05

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Wa pili Kulia) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru za tarehe 9 Desemba (hawapo pichani) juu ya hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya sherehe hizo mjini Dodoma leo tarehe 7/12/2017.Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge na kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama.

Picha na Octavian Kimario-Habari Maelezo.

About Alex

Check Also

HERM2578 (1)

WATEJA WA TANESCO KANDA YA DAR ES SALAAM NA PWANI SASA WANAWEZA KULIPA BILI KUPITIA BENKI YA NMB

 NA K-VIS BLOG WATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO ambao hawatumii mita za LUKU, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 × 4 =