Thursday , July 19 2018

Home / MICHEZO / MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR ES SALAAM

MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR ES SALAAM

PIC 01

Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania, Prof. Norman Sigalla akimtoka ,Mchezaji wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Jioni Leo Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1.

PIC 02

Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania Ridhiwan Kikwete (kushoto)  akijiandaa kuwatoka Mabeki wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni Leo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar  es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1

PIC 03

Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania Omary Mgumba (katikati)  akijiandaa kupiga Mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni Leo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar  es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli  2-1.

pic 04

Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania Ally King (katikati)  akimiliki Mpira mbele ya Wachezaji  wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni Leo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar  es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1.

pic 05

Wachezaji  wa Timu ya Bunge la Tanzania katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mechi yao na Timu ya Uganda Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni ya Leo.

 

PICHA NA BUNGE

About Alex

Check Also

Gor vs Yanga

YANGA WAKAMILISHA MZUNGUKO WA KWANZA BILA USHINDI CAF WAPIGWA 4G NA GOR MAHIA, SASA WAENDELEA KUBURUZA MKIA

  Na.Alex Sonna Wawakilishi pekee wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho klabu ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

one × 2 =