Wednesday , March 21 2018

Home / MCHANGANYIKO / NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA

IMGL7943

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China ulioongozwa na Naibu Mkurugenzi wa kamati hiyo, Mheshimiwa CAO Weizhou (wa pili kulia) wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, pale ugeni huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

IMGL8006

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akimsikiliza Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou (kulia) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

IMGL8011

Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou akisaini kitabu cha mahudhurio pale kamati hiyo ilipomtembelea Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

IMGL8027

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimpatia zawadi Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou (kushoto) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

IMGL8078

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China wakiongozwa na Mheshimiwa CAO Weizhou (kushoto waliokaa) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE

About Alex

Check Also

????????????????????????????????????

VIDEO.WAZIRI MKUU ATAKA SULUHISHO LA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa Afya kutoka nchi tisa za Afrika kutoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

five + seventeen =