Wednesday , October 17 2018

Home / MCHANGANYIKO / Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awaapiasha Naibu Katibu Mkuu na Wakuu wa Mkoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awaapiasha Naibu Katibu Mkuu na Wakuu wa Mkoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba Ikulu leo.

DSC_6559

BAADHI ya Mawazirui wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Miko wa Kusini Unguja na Kusini na Pemba Ikulu Zanzibar leo.

DSC_6566

MAKAMANDA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa wa Mikoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba leo Ikulu

DSC_6589

WATEULE wa Nafasi za Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Hassan Khatib Hassan na Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdallah na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mwanajuma Majid Abdallah wakipitia hati za kiapo kabla ya kuapishwa Ikulu leo

DSC_6593

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa Ikulu Zanzibar.

DSC_6603

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Naobu Katibu Mkuu Ikulu Zanzibar leo.

DSC_6610

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo

DSC_6618

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Mkuu waMkoa wa Kusini Unguja Hassan Khatib Hassan baada ya kumaliza kula kiapo Ikulu leo.

DSC_6622

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan , hafla hiyo imefanyika Ikulu leo 7/12/2017

DSC_6628

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah , hafla hiyo imefanyika Ikulu leo 7/12/2017

DSC_6636

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah Ikulu leo 7/12/2017.

DSC_6639

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, hafla hiyo imefanyika lei Ikulu Zanzibar 7/12/2017

DSC_6644

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Mwanajuma Majid Abdallah Ikulu leo 7/12/2017

DSC_6656

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Mwanajuma Majid Abdallah, hala hiyo imefanyika Ikulu leo 7/12/2017.

DSC_6662

RAIS wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Mwanajuma Majid Abdallah baada ya kumaliza kula kiapo, hafla hiyo imefanyika Ikulu leo 7/12/2017.

DSC_6724

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Naibyu Katibu Mkuu Ikulu leo. 7/12/20917)   

About Alex

Check Also

index

Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi wa Uganda,Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

8 + fourteen =