Friday , March 22 2019

Home / 2017 / December / 09

Daily Archives: December 9, 2017

AHADI YA MANARA KWA BABU SEYA NA PAPII KOCHA

20171209_193215

  Story kubwa leo ( Dec. 9, 2017) ni msamaha alioutoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wasanii Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae Papii Kocha ambao wote walikuwa wanatumikia kifungo cha maisha. Dkt. Magufuli ametangaza msaha huo akiwa mjini Dodoma kwenye …

Read More »

WAZIRI TAMISEMI,JOSEPH KAKUNDA AFURAHISHWA NA MIRADI YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

1

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi),Joseph Kakunda(kushoto) akipanda ngazi kukagua mradi wa maji wilayani Longido,akiwa na Mkuu wa wilaya ya Longido mkoa wa Arusha,Godfrey Chongolo.   Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi),Joseph Kakunda(kulia) na Mkuu wa wilaya ya …

Read More »

Wajumbe Watano Wa Baraza La Mashehe Mkoa Wa Katavi Wajiuzuru

_MG_4027

Wajumbe Watano  wa Baraza la Mashehe wa Mkoa wa Katavi  wameamua kuachia madaraka hayo  kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kutokuwana na kukosa imani na Katibu wa Bakwata Mkoa wa Katavi Said Selema  pamoja na Shehe wa Mkoa Shaban Bakari Farahan kutokana na mambo yanavyokwenda hovyo. Wajumbe waliojiudhuru ni Shehe Mashaka …

Read More »

KIBAFA YAANZA MABORESHO YA UWANJA WA BWAWANI MAILMOJA KIBAHA

IMG_20171207_123949

MWENYEKITI wa chama cha Mpira Kibaha (KIBAFA) Robert Munisi, mwenye cheni kubwa shingoni,akionyesha mfereji wa maji machafu yanayotiririka kwenye eneo la uwanja wa Bwawani Mailmoja Kibaha, na kusababisha kuharibu miundombinu ya uwanja huo ambao wameanza kuuboresha. Picha na Mwamvua Mwinyi ………….. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha CHAMA cha mpira wilaya ya Kibaha,Mkoani …

Read More »

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUHUSU MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA

index

Nguza Viking “Babu Seya”  kulia na Mwanaye  Johnson Nguza “Papii Kocha” wakipungia mikono mashabiki wao mara baada ya kutoka katika gereza la Ukonga kwa msamaha wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli. ……………………………………………………………………………… Katika kuadhimisha Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe      9 Disemba, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya …

Read More »

Rais Magufuli Asamehe Wafungwa 8157

22

Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesamehe jumla ya wafungwa 8,157 katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri, Mjini Dodoma. Msamaha huo umehusisha wafungwa 1828 ambao watatolewa kaunzia leo na wengine 6329 wamepunguziwa muda …

Read More »

DKT NCHIMBI ASHAURI WAHADZABE WAPEWE AJIRA ZA MUDA KUPITIA TASAF

1

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akizungumza na Wahadzabe waliokuwa wakijiandaa kupokea fedha kutoka Mpango wa Tasaf katika kijiji cha Munguli Wilayani Mkalama, Dkt Nchimbi amewatahadharisha kutofanya matumizi mabaya ya fedha hizo. Walengwa wa Tasaf wa kijiji cha Singa Wilayani Mkalama wakimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt …

Read More »

WASICHANA 20 WASIOJIWEZA KIUCHUMI WAPATA UFADHILI WA MASOMO YA KOPYUTA

1

  Mkurugenzi wa Chuo cha Mwanza General College kinachotoa mafunzo ya Kompyuta Vishal Dass akizungumza na wasichana wanaotoka kwenya familia zisizojiweza kiuchumi waliopata ufadhili wa masomobure kwenye chuo hicho.   Mkurugenzi wa Chuo cha Mwanza General College kinachotoa mafunzo ya Kompyuta Vishal Dass akisisitiza jamabo alipozungumza na wasichana wanaotoka kwenya …

Read More »

RAIS MAGUFULI KATOA MSAMAHA KWA BABU SEYA NA FAMILIA YAKE

DQl7HrJXkAE3bFx.jpg_large

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametoa msamaha kwa wafungwa 8157 ambapo wafungwa 1828 wataachiwa huru leo na 6329 watapunguziwa muda wao wa kifungo,  Pia ametoa msamaha kwa wafungwa 61 waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa na kuziagiza idara husika kuwatoa leo …

Read More »

Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni na Utaifa Dodoma

DSC_7030

WANANCHI wakiwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakifuatilia uzinduzi wa katika cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa katika  Utaifa ukumbi huo na kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. MSANII Patrisha Hilal akiwa na wasanii wezake jukwaani akiimba moja ya …

Read More »