Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 11

Daily Archives: December 11, 2017

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

sad2

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amefikishwa mahakamani mjini Dodoma na  maofisa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) baada ya kukamatwa  nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma, akidaiwa kutoa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA VIWANDA AFANYA ZIARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

DSC_0331

Naibu waziri wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Atembelea maonesho ya pili ya Viwanda vya Tanzania na kujionea uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwanda vya Tanzania. …………………………………………………………………………… Pia mhe waziri amehudhuria mkutano wa wafanyabiashara wa Viwanda vya nchini ulikojadili changamoto mbalimbali za uwekezaji na ufanyaji biashara nchini na kuwahakikishia …

Read More »

Miradi Ya Mvomero Yampa Tabasamu Waziri Jafo

IMG-20171211-WA0096

Hili ni Jengo la Kituo cha Mafunzo na Mifugo kinachojengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Ukaguzi wa Miundombinu ya Ofisi inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI Jengo la Utawala na Wagonjwa wa Nje(OPD) liliwlojengwa patika Hospital ya Wilaya ya Mvomero Jengo la Kisasa linaloendelea …

Read More »

ARSENAL YAPELEKWA SWEDEN 32 BORA EUROPA LEAGUE

472F48B600000578-0-image-a-8_1512992456261

Arsenal imepangwa kucheza dhidi ya timu ya Ostersunds ya nchini Sweden katika Hatua ya 32 Bora ya michuano ya Europa League. Arsenal itawavaa wapinzani wao hao ambao wanafundishwa na Graham Potter ambaye ni raia wa Uingereza. Atletico Madrid wao wamepangwa kukutana na Copenhagen wakati Borussia Dortmund itakutana na wabishi kutoka …

Read More »

SERIKALI YASAINI MIKATABA MINNE YA UJENZI WA BARABARA

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wakishuhudia tukio la utiaji saini wa mikataba minne ya mradi wa ujenzi wa barabara za Tabora – Koga- Mpanda na Mbinga – Mbaba Bay (kilomita …

Read More »

Bei Mpya Ya Mafuta Kwa Mwezi Wa Disemba

2017-12-11 15.36.40

Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja wa Mamlaka ya udhibitiwa huduma wa nishati na maji(ZURA) Mussa Ramadhani Haji  akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini Maisara Zanzibar. Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar. …………. Na Mwashungi Tahir                            MAMLAKA ya udhibiti wa huduma za nishati na maji( ZURA )  imetoa taarifa juu …

Read More »

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR

N

Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam. Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto),akiwaonyesha fomu baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea …

Read More »

MAKE THE DIGITAL WORLD SAFER FOR CHILDREN- UNICEF

UN0150336

UNICEF: Make the digital world safer for children – while increasing online access to benefit the most disadvantaged   Flagship report highlights the digital divide and explores current debates about the impact of the internet and social media on children’s safety and wellbeing   Download photos, videos and a copy …

Read More »

KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WALIMU ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI

DSC_0573

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu (ZATU)kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Waalimu kuanzia tarehe 10 February hadi tarehe 11 mkutano uliofanyika katika Ofisi hio Kijangwani Mjini Zanzibar. Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu (ZATU)Mussa Omar Tafurwa kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari …

Read More »

BAKWATA YALAANI MGAMBO KUSHAMBULIWA

1

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Kata na Mtaa wa Mabatini katika Wilaya ya Nyamagana Jiji la Mwanza limewataka Watanzania wa imani za dini tofauti kuishi kwa kumwogopa Mungu na kulinda na kudumisha amani ya nchi yetu ambayo imeanza kutikiswa.   Pia baraza hilo limelaani kitendo …

Read More »

WAASWA KUJENGA UZALENDO, KULINDA RASILIMALI ZA NCHI

DSC05251

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza john Mongella akishiriki kupanda katika Shule ya Msingi Jeshini wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru, huku baadhi ya makamanda, maofisa na wapiganaji wa Jwshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kikosi cha Anga cha 601 KJ, walimu na wanafunzi wakishuhudia. Mkuu wa Vikosi vya …

Read More »

MAADILI NI SUALA LETU SOTE

002

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa Disemba 10, 2017 katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma …

Read More »

DK. KIGWANGALLA – KILIO CHENU NIMEKISIKIA MIMI MWENYE MAMLAKA YA KUFANYA MABADILIKO, APONGEZWA NA WADAU WA UTALII

_DSC1256

  Na Hamza Temba, Arusha …………………………………………………….. Wadau wa Utalii Jijini Arusha wamempongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kwa kukubali kuyafanyia kazi mapendekezo yao ya kuwaingiza wajasiriamali wadogo katika utoaji wa huduma za kusafirisha watalii nchini.   Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa Chama cha Waongoza Watalii …

Read More »