Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 12

Daily Archives: December 12, 2017

RATIBA RAUNDI YA PILI KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM

7be31445296665.582bf8a427453

Baada ya droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), kukamilika Jumatano Desemba 06, 2017 kwenye Studio za Kituo cha Televisheni cha Azam, kilichopo Tabata relini, Dar es Salaam, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa ratiba rasmi ya mechi hizo za …

Read More »

Waziri Mahiga Awaasa Wabunge Wateule Wa Tanzania Kwenye Bunge La Nne (4) La Jumuiya Ya Afrika Mashariki kuwa Wazalendo Na Kusimamia Maslahi Ya Jumuiya

719A0870

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(katikati) akiongea katika kikao cha uongozi wa Wizara hiyo na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la Jumuiya ya Afrika Mashariki, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar …

Read More »

MAKAMU WA CHUO CHA IJA ASHINDA KUKU LUSHOTO KATIKA BONANZA

Mr. Fahamu Mtulya Mshindi wa kuku (Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma)

 Mr. Fahamu Mtulya Mshindi wa kuku (Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma  Nazael Mkumbo Mshindi wa kuku Makamu Mkuu wa Chuo cha uongozi wa mahakama IJA, Fahamu Mutlya mwishoni mwa wiki alionesha uhodari wa kukimbia baada ya kufanukiwa kumkamata kuku  katika bonanza kuadhimisha siku ya uhuru na kufunga mwaka wa 2017lililofanyika …

Read More »

MADEREVA WAANZA KUTII SHERIA ZA BARABARANI BILA SHURUTI

pix 1

Kamanda wa Kikosi Cha Usalama Barabarani Nchini SACP Fortunatus Musilimu aliyesimama akiongea na wadau mbalimbali wa usalama barabarani  hawapo pichani wakati wa kikao cha kujadili hali ya usalama barabarani nchini kilichofanyika leo mjini Dodoma. Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Bi. Mary Kessy akiongea na wadau mbalimbali wa usalama …

Read More »

TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10

J26A9877

Mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka umetoa  washindi wa wawili wa sh. Milioni  10  katika droo maalumu ya mwisho wa mwaka ili kuwapa wachezaji wa droo hiyo kufurahia sikukuu za mwisho wa mwaka . Akizungumza na waandishi habari wakati wa kukabidhi hundi hizo  kwa washindi hao , Afisa Habari wa Tatu …

Read More »

KILA HALMASHAURI ZAAGIZWA KUPANDA MITI 6000 YA MATUNDA

1a

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeziagiza Halmashauri zote kuanza upandaji wa miti ya matunda 6,000 kila moja katika Taasisi na Shule na miti isiyo ya matunda ili kutekeleza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu …

Read More »

Muhimbili Yawafunda Watumishi Wapya

0001

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na wafanyakazi wapya leo katika mkutano wa mafunzo elekezi. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi kwa bidii na kwamba atakayekiuka maadili ya kazi atachukuliwa hatua za kinidhamu. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Ajira na …

Read More »

NINI KIMEONGEZEKA KUTOKA PHANTOM 6 KWENDA PHANTOM 8

app

Mwezi wa 10/22/2017 tulizindua simu yetu mpya aina ya Phantom 8 Nchini Dubai. Na imekua simu iliyopata gumzo kutokana na “specifications” zake. Kwa mwaka huu tumeweza kuzindua simu tatu kubwa n azote zimeweza kufanya vizuri, ikiwemo Phantom 8. Tangu tumezindua simu hii, tumekuwa tukipata maswali kutoka kwenu wadau mkiuliza “KWani …

Read More »

GCAM CREDIT SCORING TEAM MEETS TADB BOARD OF DIRECTORS

DSC04015

Chairperson of TADB’s Board of Directors, Madame Rosebud Kurwijila (left) talks with a delegation from Group Credit Agricole of Morocco (GCAM) on the right side when the delegation meets with Bank’s Board of Directors. TADB Acting Managing Director, Mr. Francis Assenga (standing) briefs Bank’s Board of Directors on importance of …

Read More »

SALAH ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA YA BBC 2017

_99165002_ms2

Mohamed Salah wa Misri amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017. Nyota huyu wa Liverpool alipata kura nyingi zaidi ya Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon, Naby Keïta wa Guinea, Sadio Mané wa Senegal na mchezaji wa Nigeria Victor Moses. “Nimefurahi sana kupata tuzo hii,” …

Read More »

Natoa Wiki Sita Mradi wa Maji Kivindo-Muheza Uwe Umekamilika

C

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akiwa katika kituo cha Afya Ubwari wakati wa ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. Waziri Jafo akiwa katika Ukaguzi wa Miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI akiwa na baadhi ya viongozi katika Halmashauri ya …

Read More »