Friday , January 19 2018

Home / MICHEZO / YANGA KUANZA NA TIMU KUTOKA SHELISHELI LIGI YA MABINGWA

YANGA KUANZA NA TIMU KUTOKA SHELISHELI LIGI YA MABINGWA

DSC_0765
 
Hatimaye wapinzani wa Yanga katika Michuano ya Kimataifa wamejulikana Leo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), kuipangia Yanga kuanza na St Louis ya Shelisheli, timu ambayo hauwezi kusema ni mlima mrefu kwa kwa Yanga.
 
Ingawa Yanga watapaswa kuwa makini kwa kuwa ni soka na soka la Shelisheli limekuwa likipanda, lakini haiwezi kuwa kazi itakayowashinda wakiamua “lazima” wasonge mbele.
 
Ikivuka hatua hiyo, Yanga itakutana na mshindi kati ya Township Rollers ya Botswana na El Merreikh ya Sudan.
Mechi za awali zitachezwa kati ya February 9-11 marudiano 16-18.
simba2

About Alex

Check Also

271A6025

AZAM YAMINYWA NA MAJIMAJI, YAKUBALI SARE YA 1-1

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

15 + nine =