Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 14

Daily Archives: December 14, 2017

Wasanii watakiwa kutengeneza kazi nzuri zitakazovutia Wadhamini.

PIX 3

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Wasanii (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa  Mfumo wa MaxBurudani  ulioandaliwa na Kampuni ya MaxMalipo wenye lengo la kusambaza kazi za wasanii. Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison …

Read More »

JAFO ASHTUKIA MAKUSANYO YA HOSPITALI MISUNGWI

misungwi (4)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua hospitali ya wilaya ya Misungwi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akipata taarifa ya miradi ya elimu kutoka kwa …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUITUNZA MIUNDOMBINU YA UMEME

ASE

 Meneja wa Njia Kuu za Umeme,Mhandisi Amos Kaihula akitoa mada katika mkutano wa wanakijiji cha Misigiri mkoani Singida   Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida,Emanuel Luhahula akizungumza Meneja wa Njia Kuu za Umeme,Mhandisi Amos Kaihula akizungumza na waandishi wa habari  Meneja wa Njia Kuu za Umeme,Mhandisi Amos Kaihula akisisitiza jambo …

Read More »

MWANASHERIA WA GGM MBARONI KWA KUMNYIMA NYARAKA NAIBU WAZIRI

POL

Mwanasheria Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) David Nzarigo akipandishwa kwenye gari ya Polisi Baada ya agizo la  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh,Kangi Lugola.   Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh,Kangi Lugola akipokea taarifa ya shughuli zinazofanywa na Mgodi …

Read More »

RAIS MAGUFULI AAHIDI KULIPA BIL.25 ZA WALIMU

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wanachama wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kabla ya kufungua mkutano huo  Mkuu wa (CWT )katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma. Wanachama hao wa CWT walisimama na kushangilia  mara baada ya ahadi ya Rais Dkt. …

Read More »

Taasisi ya Tanzania Mortage Refinance Company (TMRC) Yachangia Shilingi Milioni Nane kwa ajili ya matibabu Ya Moyo Kwa Watoto Wanne Wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

PICHA NAMBA 1

Mkurugenzi Mtendaji wa Taaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) Prof. Mohamed Janabi na Mkurugenzi wa Taasisi ya kifedha ya Tanzania Mortage Refinance Company(TMRC)  Oscar Mgaya wakiwa katika  picha ya pamoja na watoto wenye matatizo ya Moyo na wazazi wao wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya mfano wa  hundi ya shilingi …

Read More »

MWANZA YAZINDUA NDEGE ZISIZO NA RUBANI

DSC05338

MKUU wa Mkoa wa Mwanza John Mongela wa pili kutoka kulia na Mtendaji Mkuu wa DTBi kutoka COSTECH Inj. George Mulamula  kulia, na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Raymond Mwangwala wa pili kutoka kushoto wakizindua ndege isyo na rubani jana. (Picha na Baltazar Mashaka ……………… Na BALTAZAR MASHAKA, MWANZA …

Read More »

MWENYEKITI CCM MARA AKEMEA MAKUNDI NA WAPANGA SAFU

DSC05376

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye Namba Tatu akizungumza na waandishi jana ofisini kwake na kukemea makundi lakini pia msimamo wa chama mkoani huo kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye Namba Tatu akizungumza …

Read More »

UFUNGAJI WA ZOEZI USHIRIKI IMARA 2017

tpdf

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kuwa zoezi la kijeshi ‘Ushirikiano Imara’ 2017 linalofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ulinzi wa Amani (PTC) Kunduchi jijini Dar es Salaam litafungwa rasmi tarehe 15 Desemba 2017 saa 3:00 Asubuhi katika viwanja hivyo. Mgeni rasmi atakuwa Waziri wa …

Read More »

FILAMU YA TATU CHAFU KUZINDULIWA JUMAMOSI DESEMBA 16,2017

url

Kampuni ya kutengeneza filamu ya Bongohoodz siku ya Jumamosi ya Desemba 16, 2017 inatarajia kuzindua filamu ya TATU CHAFU, uzinduzi ambao utafanyika kwenye ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Jijini Dar es Salaam. Filamu hiyo inayozungumzia uhuni na vita baina ya magenge sugu manne ya wapiga dili wa mjini. Baadhi …

Read More »

RC KASKAZIN PEMBA OMAR KHAMIS OTHMAN AKIKABIDHI VESPA KWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MICHEWENI KWA AJILI YA URAHISHAJI WA UFATILIAJI WA KAZI ZAO

02

Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman (alie vaa flana manjano) akiangalia Vespa aliowakabidhi Madiwani wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni kushoto yake ni Katibu Tawala Mkoa Kaskazin Pemba Ahmed Khalid Abdallah Hafla hiyo aOfsi ya Halmashauri wa Wilaya ya Micheweni. Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omr Khamis Othman akimkabidhi …

Read More »

MAJALIWA AMWAKILISHA JPM KUAGA MIILI YA ASKARI 14 WA JWTZ WALIOUAWA WAKIWA KWENYE OPERESHENI YA ULINZI WA AMANI CHINI YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI DRC

PMO_2828

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Venance Mabeyo baada ya kuwasili  kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari …

Read More »

QNET: BIASHARA YA ‘MASOKO-MTANDAO’ NI HALISI,YENYE MAADILI

IMG-20171212-WA0003

Kama ambavyo mjadala unavyoendelea miongoni mwa wataalamu, wafanyabiashara, wataalamu wa masoko, vyombo vya habari na umma kwa ujumla kuhusu uhalali wa biashara ya mauzo ya moja kwa moja au mtindo wa masoko ya moja kwa moja kama biashara halali, yenye maadili. QNET TANZANIA, kampuni ya masoko ya moja kwa moja …

Read More »

TWAWEZA:Malipo kwa Walimu Baada Ya Matokeo Yamewezesha Wanafunzi Kujifunza kwa Ufanisi Sawa Na Nyongeza Ya Nusu Muhula Katika Mwaka Wa Masomo

Twaweza-colour-logo

  Kuwalipa walimu bahshishi kumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000 katika kujifunza stadi za Kiswahili na Hisabati 14 Decemba 2017, Dar es Salaam: Baada ya miaka miwili ya majaribio, Twaweza, kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) pamoja na shirika la Innovations for Poverty Action (IPA), wamedhihirisha kuwa kuwalipa walimu …

Read More »

KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA

kheri12

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg:Kheri D James (katikati) akiwasili Ofisi za Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa kushoto kwake ni Ndg Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka. Ndg:Rodrick Mpogolo Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi …

Read More »