Sunday , April 22 2018

Home / SIASA / MBUNGE WA JIMBO LA SIHA MKOANI KILIMANJARO ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM

MBUNGE WA JIMBO LA SIHA MKOANI KILIMANJARO ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Chadema, Dr. Godwin Mollel.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.

24c9272f-29ec-44f8-b0f7-95ef6f7c33d2.jpegA

About Alex

Check Also

images

CHADEMA YASAMBARATIKA KILOMBERO

Leo 27 March 2018 Bwana  Anton Kamonalelo Katibu wa Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Kilombero …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two × three =