Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 16

Daily Archives: December 16, 2017

JAFO AAGIZA KUTOBADILISHWA MALENGO YA SEKONDARI YA IHUNGO

IMG-20171216-WA0033

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa shule ya Nyakato kutoka kwa wakandarasi wa Suma JKT. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akikagua maendeleo ya ujenzi wa shule ya Ihungo,akipita katika barabara za juu zinazounganisha majengo mbalimbali ya shule hiyo. Muonekano …

Read More »

MHE MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA TAASISI YA UTAFITI (TPRI) MJINI ARUSHA KUWA WAZALENDO NA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

1

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (TPRI) Dkt Margaret Mollel wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya kudhibiti visumbufu katika Ukanda wa Tropiki (Tropical Pesticides Research Institute-TPRI) katika ziara ya kikazi Mkoani Arusha, Leo 16 Disemba 2017. Picha Zote Na Mathias Canal  Naibu Waziri wa Wizara ya …

Read More »

BODI YA WAKALA YA CHAKULA NA DAWA ZILIZOHARIBIKA

01

Wafanyakazi wa Bodi ya Wakala na Dawa Zanzibar  wakiteremsha dawa za msuaki tani tisa zilizoharibika katika jaa la kibele Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya kuangamizwa Maboksi yaliyokuwa na dawa za msuaki zilizoharibika yakichomwa moto na wafanyakazi wa Bodi  ya Wakala na Dawa Zanzibar katika jaa la Kibele, Wilaya …

Read More »

MAPOKEZI YA MWENYEKITI WA UWT TAIFA MKOANI DODOMA

DSC_0813

MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Taifa, Thwaiba Kisasi akizungumza wakati wa Hafla ya  mapokezi ya Uongozi mpya wa Umoja huo Taifa yaliyoandaliwa na UWT Mkoa Dodoma. MWENYEKITI wa UWT Taifa, Gaudencia Kabaka akihutubia katika hafla ya mapokezi ya viongozi wapya ngazi ya Taifa wa Umoja huo yaliyofanyika katika viwanja vya White …

Read More »

TANGAZO:UKIWA NA MATATIZO HAYA WAONE JAMES COSMETIC

calm

BAADA YA UTAFITI TULIOFANYA JAMES COSMETIC TUMEGUNDUA KUWA WANAUME WENGI DUNIANI HUSUMBULIWA NA MATATIZO KAMA ☆Kukosa hamu ya tendo kwa wanaume. ☆Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo. ☆Kuchoka sana wakati wa tendo nk. @James_cosmetic_Co.ltd Tumeandaa tiba bora kabisa kama ifuatavyo:- 1.HANDSOME UP OG 2.SHARK POWER GELY 3VigRX CREAM 4.Vidonge …

Read More »

JAFO ASEMA HATAMVUMILIA YEYOTE ATAKAYEHUSIKA NA RUSHWA TARURA.

IMG-20171215-WA0081

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akifunga mafunzo ya manunuzi kwa maafisa wa Tarura. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya maafisa Tarura. …………… Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, TAMISEMI  Selemani Jafo amewaonya watumishi wa Wakala wa barabara Mijini na Vijijini(TARURA) …

Read More »

TANROADS WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA

3

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikagua nguzo za daraja la Kelema lenye urefu wa mita 205 lililopo katika barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa KM 231.5, Mkoani Dodoma. Daraja hilo linaunganisha Wilaya ya Chemba na Kondoa mkoani humo. Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa …

Read More »

WAZALENDO 47 KUTOKA JWTZ NA KUNDI LA WANAHABARI WALIVYOTUMIA SIKU 5 KUPANDA KILELE CHA UHURU KWA AJILI YA SHEREHE ZA MIAKA 56 YA UHURU

E86A7203

Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibok akizungumza katika hafla fupi ya kuagwa kwa wazelendo 47 waliopanda mlima Kilimanjaro. Baadhi ya Washiriki katika changamoto ya kupanda Kilimanjaro kwa ajili ya kutangaza Utalii wa Ndani na utunzaji wa Mazingira. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za …

Read More »

TEWW Kuendelea kuwa Kitovu cha Elimu ya Watu Wazima

1 (18)

Naibu Waziri Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Tate Ole Nasha akizungumza na Wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (hawapo pichani)  wakati wa mahafali ya 53 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi.   Mkurugenzi  Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT JUMA MALEWA AWAAGA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIOKUWA WAKISHIRIKI MAZOEZI YA ULINZI WA AMANI JIJINI DAR

1

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa(kushoto) akiteta jambo na Maafisa wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji toka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika Desemba 15, 2017 katika Ukumbi wa Magereza – Recreation, Ukonga Jijini Dares salaam. Maafisa hao walikuwa hapa nchini kushiriki mazoezi …

Read More »

YAH: MAFUNZO YA USALAMA WA MAJI, KUJIOKOA NA KUOKOA WENGINE

Skauti kutoka mikoa mbalimbali nchini wakipata mafunzo ya uokoaji majini ktk bwawa la kuogelea ktk Shule ya Kimataifa ya Tanganyika IST upanga jijini D'salaam. picha na HIDAN RICCO.--10

Chama cha Skauti Tanzania kimeandaa na kinaendesha mafunzo ya usalama wa maji na kuokoa maisha  katika kambi ya Jeshi Kikosi cha Majini, Kigamboni (Navy) Kozi hiyo ya mafunzo imewashirikisha vijana na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 16 na watu wazima wapatao 35 wengi wao ni  kutoka mikoa ya …

Read More »