Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 18

Daily Archives: December 18, 2017

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO MKUU WA TISA WA CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE CONVETIONAL CENTRE MJINI DODOMA

6

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kugonga mkono pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakijiandaa kupiga kura za kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi …

Read More »

SERIKALI GEITA YAJIPANGA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWA WANANCHI

DSC_0761

Mkuu wa mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Gabriel akiwa na Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Geita(GEUWASA)Mhandisi Joseph Mwita wakati alipotembelea moja kati ya mitambo ya kuzalishia maji ambayo hipo kijiji cha Nungwe kwenye ziwa viktoria.   Eneo la mitambo ya uzalishaji wa maji ambayo hipo …

Read More »

PANGANI COUNCIL AND OTHER GOVERNMENT ORGANS WARNED AGAINST PUTTING HITCHES ON THE WORK OF UZIKWASA

Picha 1

Pangani District Council and other Government organs have been advised against putting hurdles on the work of a non-government organization, UZIKWASA that is spearheading efforts to change traditional mindsets that hinder people, especially women and children form speaking out freely against gender-based violence and other social abuses. The advice was …

Read More »

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA DESEMBA 29 NA 31 MWAKA HUU

vodacom-567x360

Ligi Kuu ya Vodacom iliyosimama kupisha michuano ya Kombe la Chalenji inaendelea mwishoni mwa mwezi huu kwa mechi za raundi ya 12 zitakazochezwa kati ya Desemba 29 na 31 mwaka huu, na Januari mosi mwakani.   Vilevile mechi 16 kati ya 152 zilizobaki za Ligi hiyo zitachezwa kuanzia saa 8 …

Read More »

MAKE MIGRATION SAFE FOR EVERY CHILD 2018-UNICEF

unicef_conflict_support

An estimated 400 children have died along the Central Mediterranean route this year, reflecting the dangers children face in the absence of safe migration pathways Download photos here: http://uni.cf/2BlX6ga   NEW YORK & DAR ES SALAAM, 18 December 2017 – The year 2018 could be a landmark year for migrant children, …

Read More »

BENKI YA AZANIA YAAZIMIA KUBORESHA SEKTA BINAFSI ILI KUKUZA UCHUMI

pic+mpango

Na Mwandishi Wetu, Dodoma UONGOZI wa Benki ya Azania Limited umeridhika na namna serikali ilivyopokea mawazo ya wadau wa sekta binafsi katika mkutano walioshiriki kuuandaa mkoani Dodoma kwa lengo la kutoa fursa kwa wafanyabiashara kuishauri serikali katika masuala mbalimbali yahusuyo kodi. Katika mkutano huo ulioongozwa na Waziri wa Fedha na …

Read More »

MAPENDEKEZO YA MUSWAADA WA KUTOA TAARIFA YAFIKA PAZURI

3

Wadau wa Sekta mbalimbali, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo (hayupo pichani), wakati wa mkutano wa maoni kuhusu sheria ya kulinda taarifa binafsi,Mkoani Dodoma, leo. Afisa Sheria wa Sekta ya Mawasiliano, Bi. Eunice Masigati, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa …

Read More »

‘AU REVOIR’ GCAM CREDIT SCORING TEAM

IMG_1401

TADB Acting Managing Director, Mr. Francis Assenga (left) chats with Head of Delegation from GCAM Mr. Jalal Bouchama (right) at the farewell ceremony in Dar es Salaam. TADB’s Director of Treasury and Funding, Mr. Albert Ngusaru (right) talks to GCAM’s Director of Credit Information System, Mrs. Sanae Benmali (left) and …

Read More »

AIRTEL YATANGAZA KUONGEZA GB BANDO ZA YATOSHA INTANETI

1

Meneja Masoko Airtel Tanzania Aneth Muga akitoa Maelezo wakati wa mkutano na watangazi wa radio mbalimbali  nchini  kuhusu ongezeko la faida za mteja katika huduma za intaneti zinazotolewa na Airtel kupitia  bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ . Baadhi ya watangazaji wa radio mbalimbali nchini wakifuatilia mada kwa umakini …

Read More »

SAFARI YA WAZALENDO 47 ILIVYOINGIA SIKU YA PILI WAKATI WAKIELEKEA KILELE CHA UHURU,KATIKA MLIMA KILIMANJARO

E79A0013

Baada ya kupumzika katika kituo cha Mandara katika siku ya kwanza ,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara aliongoza Wazalendo 47 kutoka jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),Wanahabari,Marafiki wa China na Tanzania pamoja na watumishi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika siku ya pili ya kuelekea kilele cha Uhuru …

Read More »

TPB YAFUNGUA TAWI JIPYA KWA MROMBO – ARUSHA

DSC_0518

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa benki ya TPB Noves Moses (kulia) akiteta jambo na mmoja wa wateja wa benki hiyo Bw. Elias Malisa, aliyehudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa tawi la benki hiyo lililopo maeneo ya kwa Mrombo, Mkoani Arusha. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya benki …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA MKOA WA ARUSHA

01

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, akishiriki  zoezi la upigaji chapa mifugo  katika hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.  Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizindua zowezi la upigaji chapa mifugo  katika hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, (wa kwanza kulia)akizungumza na …

Read More »