Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 19

Daily Archives: December 19, 2017

AIRTEL YAJA NA OFA KABAMBE KWA AJILI YA SIKUKUU

IMG_1394

Kampuni ya Simu za Mkononi nchini Airtel imezidi kuonesha ukomavu wake katika kuwaletea wateja wake huduma bomba baada ya sasa kuja na kifurushi cha Smatika ambacho kinaanzia Sh 2,00 hadi Laki moja. Vifurushi hivyo vimekuja mahususi kwa lengo la kukata kiu ya bando la intaneti kwa watumiaji wa Airtel huku …

Read More »

DOKTA MPANGO AALIKA WAWEKEZAJI KUTOKA NORWAY

IMG_8174

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akizungumza jambo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi. Hanne-Marie Kaarstad, (hayupo pichani) mjini Dodoma. Katibu wa Waziri wa Fedha na Mipango Bw. Edwin Makamba (kushoto) na Mchumi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango-Idara …

Read More »

UTENGANISHAJI WA UPELELEZI NA UENDESHAJI KESI UMEKUWA NA TIJA –DPP

IMG_2444

Mkurugenzi wa Mashtaka ( DPP)  Bw. Biswalo  Magaga akiwaeleza wajumbe wa Baraza  la Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu  namna utekelezaji wa utenganishaji wa  shughuli za uendeshaji  mashtaka na upelelezi unavyoleta tija na mafanikio yakiwamo ya kupunguza msongamano wa mahabusu  magerezani. wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi, …

Read More »

RAUNDI YA PILI KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUANZA KESHO

azfcj-750x350

  Hatua ya Pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), inaanza rasmi kesho Jumatano Desemba 20, 2017 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), michezo ya kesho Desemba 20, …

Read More »

FIFA YAIFUNGULIA TANZANIA MTANDAO WA USAJILI

Flag_of_FIFA.svg_-750x350

  Jitihada za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) za kuwasiliana na Mwendeshaji wa mfumo huo waliokasimiwa na Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) walioko Tunis, Tunisia ili kuziwezesha timu kufanya usajili, zimefanikiwa. Mtandao huo kwa sasa upo wazi. Hivyo TFF inazitaka timu zote sasa kukamilisha usajili kuanzia pale …

Read More »

Kampuni 3 Kuuza Tanzanite katika Mnada Wa Mirerani

PICHA 1

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila( katikati) akielezwa jambo na  Vikosi vya ulinzi na usalama, katika eneo linalotumika kufanyia mnada wa Madini ya Tanzanite katika eneo la Naisinyai lililoko kwenye mji mdogo wa Mirerani. Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila( katikati) akiangalia mapambo na vitu mbalimbali …

Read More »

NEC YATOA ORODHA YA WANACHAMA 15 UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI

TUME

Na Mwandishi Wetu TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa orodha ya wanachama 15 wa vyama vya siasa walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo ya Singida Kaskazini na Longido. Tume pia imetoa orodha ya majina ya wanachama wengine 15 wa vyama mbalimbali ambao wamejitokeza kugombea udiwani katika uchaguzi mdogo unaofanyika kwenye …

Read More »

SIKU YA TATU YA KUELEKEA KILELE CHA UHURU KATIKA MLIMA KILIMANJARO KWA WAZALENDO 47 KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU PAMOJA NA KUTANGAZA UTALII WA NDANI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

E79A0259

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu,Jenerali,George Waitara akiwa katika maandalizi ya kuianza siku ya tatu ya Wazalendo 47 kuelekea katika kilele cha Uhuru ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru . Baada ya kupumzika kwa muda katikia kituo cha Horombo Wazalendo kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) …

Read More »

Manyanya: Badilishaneni Uzoefu Katika Mageuzi ya Viwanda

_DSC0296

 Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mh.Stella Manyanya(Mb), Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel na Mkurugenzi Msaidizi wa Mifumo wa OR TAMISEMI Baltazari Kibola wakati wa Kikao hicho kwa njia ya Mtandao kwenye Ukumbi wa Mikutano wa TAMISEMI. Mh. …

Read More »

NAIBU WAZIRI MAWASILIANO AFASHASTA,AZINDUA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI ARUSHA

SUMATRAAA

Na Mahmoud Ahmad Arusha Naibu waziri wa mawasiliano na uchukuzi  Afashasta Nditie amezindua Mkutano mkuu wa kujadili mfumo wa Anuani za makazi uliofanyika mkoani Arusha ambao umewakutanisha  wadau mbali mbali wa mawasiliano kutoka barani Africa . Akizungumza na wadu hao Naibu waziri Nditie amesema  kuwa   mfumo huo kwa hapa nchini  upo vizuri na anaamini kuwa …

Read More »

SSRA MWAJIRI BORA SEKTA YA UMMA

IMG_3959

Baadhi ya Wafanyakazi wa SSRA wakiwa kwenye meza ya SSRA wakati  hafla ya utoaji Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2017 zilizotolewa na Chama cha Waajiri Nchini (ATE) Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA Bi. Sarah Kibonde Msika akiwa kwenye Meza ya SSRA …

Read More »

VIDEO:NYUMBA ZAIDI YA 41 ZAHARIBIWA VIBAYA KUFUATI MVUA MKUBWA MKOANI RUVUMA

unnamed

Nyumba zaidi ya 41 zimeharibiwa vibaya kufuatia mvua kubwa iliyonyesha iliyoambatana na upepo mkali na kuharibu miundombinu ya shule ya sekondari matimila wilayani Songea mkoani Ruvuma,</p> <p class=”m_2791141133739168052gmail-MsoNormal”>Kufuatia uharibifu huo RUVUMATV imefika katika eneo la maafa kuzungumza na wananchi wa vijiji vya MGAZINI na MPANGURA huku baadhi ya wananchi hao …

Read More »