Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 22

Daily Archives: December 22, 2017

DKT MWANJELWA AIAMURU TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO NALIENDELE MTWARA KUWAONGEZA MALIPO WAFANYAKAZI WAKE

1

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akikagua miche ya Korosho wakati alipotembelea Kitalu Nyumba (Green House) katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele (NARI) Mkoani Mtwara Mwingine ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele (NARI) Dkt Omari Mponda, leo 22 Disemba 2017. Picha Zote Na Mathias Canal  Naibu Waziri wa …

Read More »

VIONGOZI 19 WA USHIRIKA WANUSURIKA KWENDA SELO

PMO_3923

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia bandali la nyuzi zilizosokotwa na kiwanda cha kutengeneza nyuzi cha JOC, mjini Shinyanga leo Desemba 22, 2017 na kubainishwa kwamba zimetoka Tanzania. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho, Bw. Jim Liu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akipatiwa maelezo …

Read More »

YANGA YATANGAZA KAMATI YA MCHAKATO WA MABADILIKO KWENDA KAMPUNI

kamati yanga

  Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. Klabu ya Yanga imeuanza rasmi mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji kwa kumteua Wakili Alex Mgongolwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo.. Mgongolwa atasaidiwa na wajumbe watano ambao ni Mheshimiwa Said Mecky Sadick, Profesa Mgongo …

Read More »

TAASISI YA DR.AMON MKOGA FOUNDATION YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU NA VIKUNDI VYA KINAMAMA WA MKOA WA TABORA KUTOKA UBALOZI WA KUWAIT TANZANIA

002

Mwenyekiti wa Dr.Amon Mkoga Foundation, Bwana Amon Mkoga na kulia kwake ni Mhe.Stella Ikupa Naibu waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu akifuatiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe.Jasem Al Najem, Ubalozi wa Kuwaiti umetoa vyerehani, fimbo za kutembelea walemavu na baiskeli za walemavu vyote vikiwa na …

Read More »

MAVUNDE KUENDESHA OPARESHENI MAALUM YA KUKAGUA WAAJIRI AMBAO HAWAJATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MHAGAMA LA KUJIUNGA NA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI(WCF) NCHINI

IMG-20171222-WA0084

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde akiteta jambo na  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha mshomba. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde akizindua miongozo ya utekelezaji wa majukumu ya Baraza la Wafanyakazi mfuko wa fidia kwa Wafanyakazi(WCF). …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR AWAPONGEZA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO

DSC_2344

kocha mkuu hemed moroco akitambulisha wachezaji.Kocha Mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Moroco akiwatambulisha wachezaji wake kwa Rais Dkt.Shein Ikulu Leo Rais Dkt.Shein akitoa pongezi kwa wachezaji wakati wa chakula Mchana Ikulu Leo baada ya Zanzibar Heroes kushika nafasi ya Pili katika Michuano ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’ Wachezaji wa …

Read More »

POLISI TANGA YAWATAHADHARISHA WANANCHI KUELEKEA SIKUKUU

3

  Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Edward Bukombe akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na matukio yaliyotokea kwa kipindi cha mwaka mzima ambapo alisema Jumla ya Silaha 14 za moto zilikamatwa  kulia ni RCO wa mkoa wa Tanga,Justine Masejo JESHI la polisi mkoani Tanga, limewahadharisha wananchi kuelekea katika …

Read More »

ACCREDITATION ZA WAANDISHI KOMBE LA DUNIA MWISHO JANUARY 15

images

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha vyombo vya Habari kuhusu utaratibu wa kadi maalumu za kuingilia Uwanjani kwa waandishi wa habari(accreditation) katika mashindano ya kombe la Dunia yatakayofanyika Russia mwakani. Utaratibu huo uko tayari ambao unawataka waandishi kujaza kupitia link maalumu inayosimamiwa na Idara ya habari na mawasiliano …

Read More »

RAIS KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO

DQDs3I0WAAEiNqu

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia atakutana na Wahariri wa Habari za Michezo Jumatano Desemba 27,2017. Pamoja na mambo mengine Rais Karia atazungumzia miezi minne tokea uongozi uliopo umeingia madarakani pamoja na vitu vilivyofanyika katika muda huo. Aidha Rais Karia ataelezea changamoto mbalimbali zilizopo TFF …

Read More »

KANISA LA UKOMBOZI LATEMBELEA AMANI, LAKUMBUSHA KUJALI WATOTO

url

WATANZANIA wamekumbushwa kuwajali na kuwangaalia watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu kwa kuwatimizia mahitaji yao ya kimwili na kiroho. Aidha, wamepaswa kutambua kwamba wana wajibu wa kusaidia watoto hao kwa kuwa wanawekeza kwa manufaa ya taifa na wao wenyewe. Kauli hiyo imetolewa na Mwana wa Nabii BG Malisa …

Read More »

Kitabu cha ‘SOTE TUNAWEZA’ Kusaidia Kukuza Kiswahili

V3

Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa VIVA lEGACY lTD (t) Bi. Fortunata Meela Temu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa kitabu chaake cha “SOTE TUNAWEZA” leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, …

Read More »

MADINI YA TANZANITE YA SHILINGI BILIONI 1.84 YAUZWA KWENYE MNADA

PICHA NAMBA SABA

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la madini la Taifa, (Stamico) Alexander Muganda akizungumza na waandishi wa habari kwenye mnada wa madini ya Tanzanite uliofanyika mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akizungumza kwenye mnada wa madini ya Tanzanite uliofanyika mji …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUICHUKULIA LUGHA YA KISWAHILI KAMA FURSA

IMG-20171222-WA0002

Na Florah Raphael. Kampuni ya Viva Legency inayohusika na mafunzo na ushauri elekezi imekuja na kitabu kinachojulikana kama “Sote Tunaweza” kikiwa na lengo la kusaidia harakati za mabadiliko pamoja na kukuza utamaduni wa mtanzania. Akiongea na waandishi wa habari Leo jijini Dar es salaam, Mtendaji mkuu wa Vivalegency Fortunata Meela …

Read More »

JAFO AKERWA NA UCHAFU SOKO LA MABIBO

IMG-20171222-WA0031

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani jafo akifanya ukaguzi katika soko la mabibo. Waziri w Nchi,Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani jafo akiwa na Meya wa Ubungo akijionea madimbwi na tope kwenye soko la mabibo. Wafanyabiashara wa soko la mabibo wakitoa malalamiko yao kwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani  …

Read More »