Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 23

Daily Archives: December 23, 2017

GAMBO AONGOZA WANA-ARUSHA KUJENGA HOSPITALI YA WILAYA

unnamed

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amezindua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Arusha mjini katika eneo la Njiro kontena. Shughuli ambayo ilihidhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji hilo.  Akizungumza na wananchi hao Gambo alisema “Nina furaha sana kushuhudia tukio hili litakaloacha alama katika maisha ya watu wetu …

Read More »

SERIKALI YATARAJIA KUANZISHA BIMA YA AFYA KWA WATU WOTE

0

Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo mbele ya baadhi ya Watumishi(hawapo kwenye picha) wa Taasisi ya Kiuma inayomiliki chuo cha Uuguzi, Kituo cha Afya na Kanisa la Upendo wa Kristo Kiuma. Mkurugenzi Mkuu wa chuo cha Uuguzi na Mwenyekiti …

Read More »

HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR

001

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Kitabu cha ‘Sote Tunaweza’, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika kwenye Bustani ya Target Mbezi Beach Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu …

Read More »

KISA KIPIGO CHA FA ‘OMOG ATUPIWA VIRAGO’ SIMBA SC

IMG-20171223-WA0127-640x640

    Klabu ya Simba na kocha wake mkuu Joseph Omog, wameamua kwa pamoja kuvunja mkataba baina yao kwa makubaliano maalum yanayozingatia maslahi ya pande zote mbili. Klabu inamshukuru kocha Omog na inamtakia kila la kheri kwenye maisha yake nje ya Simba. Kwa wakati huu Timu yetu itakuwa chini ya …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKAZI WA SONGEA

PMO_4371

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia wakazi wa kata ya Mwengemshindo katika Manispaa ya Songea leo Desemba 23, 2017 ambako alienda kusikiliza kero yao ya muda mrefu ya kutolipwa fidia. Mkazi wa Msamala katika Manispaa ya Songea, Bibi Monica Joseph Miti akitoa maelezo yake mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (hayupo …

Read More »

KANISA LA UKOMBOZI LATEMBELEA AMANI, LAKUMBUSHA KUJALI WATOTO

url

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya kidini wameombwa kusaidia kuondoa unyanyapaa wa wagonjwa wa Ukimwi ikiwa ni sehemu kamili ya kukabiliana na janga hilo nchini. Aidha wametakiwa kutumia program mbalimbali walizonazo katika mahubiri na kazi zao kuhakikisha kwamba taifa haliwi na maambukizi mapya ya Ukimwi na wale waliokuwa nao wanathaminika. Kauli …

Read More »

MKURUGENZI DODOMA KUWAKATIA BIMA YA AFYA 133 WANAOSAFISHA BARABARA MJINI, AWAPA ZAWADI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

MCHE

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (kulia) akimkabidhi mche wa sabuni mmoja ya wafanyakazi wanaosafisha barabara na mitaa mbalimbali ya Mji wa Dodoma mara baada baada ya kuzungumza na wafanyakazi hao katika Viwanja vya Nyerere Mjini Dodoma jana. Mkurugenzi huyo aliwapatia wafanyakazi hao wapatao 133 zawadi ya …

Read More »

UNICEF NEW EXECUTIVE DIRECTOR APPOINTED

12-10-16sg1

NEW YORK, 22 December 2017 – UNICEF welcomed UN Secretary-General Antonio Guterres’ announcement today that Henrietta H. Fore will succeed Anthony Lake as UNICEF Executive Director when his term ends on 31 December 2017. Ms. Fore has nearly four decades of public sector service culminating as the first woman to …

Read More »

MBARAKA YUSUPH KUKAA NJE WIKI MBILI

IMG-20171221-WA0013_0

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Mbaraka Yusuph, anatarajia kukaa nje ya dimba kwa muda wa wiki mbili baada ya kupata mshtuko mdogo kwenye goti lake la mguu wa kushoto. Mbaraka amegundulika na tatizo hilo baada ya kufanyiwa uchunguzi leo asubuhi kwenye Hospitali ya Vincent Pallotti iliyopo …

Read More »

AZAM FC YAJINASIBU KUIUA AREA C UNITED YA DODOMA KOMBE LA FA

271A9628

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Leo Jumamosi itaanza kibarua chake cha kwanza kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Fedaration Cup) kwa kumenyana na Area C United ya Dodoma. Mtanange huo wa raundi ya 64 ya michuano hiyo utafanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar …

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO LAFANYA TAMASHA LA UTOAJI ELIMU KWA UMMA

PIX 3

Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (Katikati), akizungusha king’ora kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Tamasha la Zimamoto la utoaji elimu kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo Thobias Andengenye, wakati wa Tamasha la hilo lililofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Tanganyika …

Read More »