Friday , March 22 2019

Home / 2017 / December / 28

Daily Archives: December 28, 2017

Ihanje Saafi, Ujenzi Wa Miundombinu Ya Afya-Waziri Jafo

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo(katikati) akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji Mtaturu(Pili Kulia) wakati alipofanya ziara ya Kikazi katika Halmashauri hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akisaini Kitabu cha wageni katika Kituo cha Ihanje wakati wa ziara yake Wilayani …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI ATEMBELEA TBC-ARUSHA

PIC 04

Eneo la ofisi ya Shirika la Utangazaji la Taifa TBC linaloendelea na ujenzi lililopo Njiro mkoani Arusha. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi.Susan P. Mlawi alitembelea eneo hilo kujionea maendeleo ya ujenzi yaliyofikiwa leo Tarehe 28/12/2017 Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kanda ya …

Read More »

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA ZAHANATI MIBURE

PMO_3661 mibure

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Desemba 28, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwananchi …

Read More »

SERIKALI KUJENGA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME WA MAJI MTO RUFIJI

DSC_0292

Waziri wa Nishati Dr,Medad Kalemani akizungumza na wananchi wa kata ya Mganza wakati wa ziara yake Wilayani Chato ya kukagua utekelezaji wa uwekaji wa umeme vijijini(Rea awamu ya tatu)   Waziri wa Nishati Dr,Medad Kalemani akiwa na makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Chato (Kulia)wakati alipokuwa akizungumza na wananchi. …

Read More »

MAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TABIA MAULID MWITA AMEISHAURI SERIKALI YA MAPINDUZI YA Z’BAR KUONGEZA KASI YA USIMAMIZI KATIKA JAMII

01

MWENYEKITI wa UVCCM Taifa Kheir James(kushoto wa kwanza) akitoa Shukrani kwa mapokezi aliyopewa na Uongozi wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar chini ya usimamizi wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar  Dk. Abdalla Juma Saasalla (Mabodi) pamoja na SMZ kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed kama wanavyoonekana katika …

Read More »

TFF, OFISI YA MKUU WA MKOA KUWANOA MAKOCHA

Pix-2

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kesho anatarajia kuzindua rasmi kozi ya ukocha kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari iliyoanza leo Desemba 28, 2017.   Kozi hiyo iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa TFF na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam itakayochukuwa muda wa …

Read More »

KADI MAALUMU ZA KUINGILIA UWANJANI KWA WAANDISHI

TFF

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea kusisitiza utaratibu kwa Waandishi wa Habari za Michezo wa namna ya kuingia kuripoti mechi za fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika Russia mwakani.   Mwandishi anayehitaji kuripoti fainali hizo awasiliane moja kwa moja na Idara ya Habari na Mawasiliano TFF ili …

Read More »

TFF KURASIMISHA MASHINDANO YASIYO RASMI

RAIS-KARIA-750x350

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lipo kwenye mkakati madhubuti wa kuyarasimisha mashindano yasiyo rasmi ili kuweza kutambuliwa.   Kumekuwa na upotoshaji unaofanywa kwa makusudi kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amefuta mashindano yote ya aina hiyo taarifa ambazo sio sahihi alichokisema Rais Karia wakati akizungumza na Wahariri …

Read More »

LIGI KUU BARA MZUNGUKO WA 12 KUENDELEA LEO KWA MECHI MOJA

IMG_0005

  Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) mzunguko wa 12 katika msimu wa 2017/2018 inaendelea wikiendi hii baada ya kusimama kwa wiki tatu kupisha michuano ya CECAFA huko Kenya na mechi za raundi ya pili ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).   VPL ambayo wadhamini wenza ni Kituo cha …

Read More »

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania SACP. Fortunatus Musilimu Azungumzia Hali Ya Ajali mwaka 2017

M1b

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania(Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu …

Read More »

MWENYEKITI WA CCM PWANI ASEMA WAPINZANI HAWANA SAFARI 2019-2020

IMG-20171228-WA0020

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM)Mkoani Pwani Ramadhan Maneno ,akizungumza kwenye sherehe za kumpongeza kushika nyadhifa hiyo ,iliyoandaliwa na CCM kata ya Bwilingu jimbo la Chalinze. Mwakilishi mkutano mkuu wa mkoa wa Pwani ,Imani Madega, akizungumza kwenye sherehe za kupongezwa kuchaguliwa kwa uongozi Mpya wa CCM Mkoani hapo ,iliyoandaliwa na CCM …

Read More »

TEWUTA Wampongeza JPM Suala la Airtel

IMG_0571

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao na Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) Bw. Junus Ndaro (katikati) akieleza jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu pongezi zao kwa Rais wa Jamhuri Muugano Magufuli juu ya suala la Kampuni ya Simu ya Airtel, kulia ni Mwenyekiti wa …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZAKE ZA TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI KWA VIONGOZI WA UMMA KATIKA OFISI ZA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA JIJINI DAR ES SALA

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Jengo la Sukari House lenye Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma kwa ajili ya  kuwasilisha Fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam. Rais wa …

Read More »

MWILI WA MAREHEMU MAYAGE WAAGWA LEO NYUMBANI KWAKE MBWENI

WhatsApp Image 2017-12-28 at 13.52.41

Padre wa Kanisa Katoliki, John Kaniki akiongoza misa ya kuombea mwili wa marehemu Mayage S. Mayage aliyewahi kuwa mwandishi wa habari leo nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wanafamilia wa marehemu, ndugu na jamaa wakiwa fuatilia ibada ya kuagwa kwa aliyekuwa mwandishi mkongwe Mayage S. Mayage nyumbani …

Read More »

kuhusu Utoaji wa Matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji wa Huduma za Afya Nchini wa Mwaka 2014/15 na Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania wa Mwaka 2015/16 kutoka Kanda ya Mashariki na Kanda ya Kusini.

1

Mgeni rasmi Katibu Tawala, Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari akifungua Semina ya Utoaji wa Matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji wa Huduma za Afya Nchini wa Mwaka 2014/15 na Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania wa Mwaka 2015/16, Kanda ya Mashariki na Kanda …

Read More »

TAA YAMLILIA MWANASHERIA DELFINE

DEL1

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Augustine, Padri Fidelis Mfaranyembo lililopo Mbezi Temboni jijini Dar es Salaam, jana akinyunyizia maji ya baraka kwenye mwili wa aliyekuwa Mwanasheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Kituo cha Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), marehemu Delfine Mulogo …

Read More »

MWENYEKITI UVCCM AKERWA NA MAKUNDI,MAJUNGU

kheri12

Na Mwashungi Tahir,Maelezo Zanzibar    VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, wametakiwa kujiepusha na tabia ya majungu na makundi ambayo yanaweza kuhatarisha uhai wa chama. Akizungumza katika mapokezi ya uongozi mpya wa Umoja wa Vijana Taifa wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mwenyekiti wa wa Umoja Kheir Denis James katika makao makuu …

Read More »

MAVUNDE AJIBU KERO ZA WANANCHI WA HOMBOLO

mavunde (1)

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara kata ya Hombolo Bwawani. Diwani wa Kata ya Hombolo Bwawani Assedi Ndajilo akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde wa kusikiliza kero za wananchi. Wananchi waliosimama kuwasilisha kero …

Read More »

LIVERPOOL YAIZIDI KETE MAN CITY KWA VIRGIL VAN DIJK

4798B91500000578-5215747-image-a-20_1514397678823

Klabu ya Liverpool ya Uingereza wamekubaliana na Southampton ya kumchukua beki kisiki wa Virgil Van Dijk kwa rekodi ya klabu kwa kutoa pauni 75 za usajili na utakuwa mkubwa ambao hujawahi kuwekwa na majogoo wa Anfield. Liverpool itakuwa imeweka rekodi kwani usajili huu utalingana na Mshambuliaji wa Manchester United Lukaku …

Read More »

CHIRWA,AJIB KUIKOSA MBAO FC JUMAPILI UWANJA WA CCM KIRUMBA

pic+ajibu

Mabingwa Watetezi wa  Ligi Kuu ya Tanzania bara klabu ya Yanga inatarajia kusafiri leo kuelekea Mkoani Mwanza kwa ajili ya Mechi wao dhidi ya wenyeji timu ya Mbao FC utakaopigwa Jumapili kwenye uwanja wa CCM Kirumba. Yanga wanasafiri bila ya nyota wao ambao ni Ibrahim Ajib mwenye kadi tatu za …

Read More »

UJENZI WA CHUO CHA VETA MKOA WA SIMIYU KUANZA MWEZI MACHI 2018

PICHA A

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lagangabilili mara baada ya kufungua vyumba vya madarasa vilivyojengwa kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (P4R) katika Shule ya msingi Lagangabilili wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce …

Read More »

CHAURU YADHAMIRIA KUINUA KILIMO CHA MPUNGA MSIMU UJAO-SADALA

IMG-20171227-WA0016

Mwenyekiti wa chama cha ushirika cha umwagiliaji Ruvu (CHAURU)Mkoani Pwani,Sadala Chacha akionekana pichani kuzungumza na wanachama wa chama hicho (hawapo pichani),wakati wa mkutano mkuu wa chama hicho Baadhi ya wanachama wa chama cha ushirika cha umwagiliaji Ruvu (CHAURU)Mkoani Pwani wakiwa kwenye mkutano mkuu wa chama hicho. Picha na Mwamvua Mwinyi) …

Read More »