Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 29

Daily Archives: December 29, 2017

WAZIRI MKUU AWASILISHA TAMKO LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

PMO_4407

  Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akionyesha barua  aliyopokea kutoka kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma,wakati akizungumza na waandishi wa habari kijijini kwake Namahema ‘A’ wilayani Ruangwa mkoani Lindi leo jioni Ijumaa, Desemba 29, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ………. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema amekwishawasilisha tamko la …

Read More »

UGAWAJI WA VITALU VYA UWINDAJI WA KITALII KWA NJIA YA MNADA

_DSC1344

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wadau wa sekta ya uwindaji wa kitalii katika mkutano uliondaliwa na Wizara yake mjini Dodoma jana kwa ajili ya kujadili mikakati mbalimbali ya kuimarisha sekta hiyo ikiwemo utekelezaji wa azma ya Serikali ya kuanzisha utaratibu mpya wa utoaji wa leseni …

Read More »

WAKULIMA WATAKA PAMBA YAO INUNULIWE KWA FEDHA TASILIMU.

index

Na Tiganya Vincent- RS-Tabora BAADHI ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega wameiomba Serikali kudhibiti mtindo wa Kampuni ambazo zimekuwa na tabia ya kukopa mazao ya wakulima kwani vitendo hivyo vimekuwa vikiwakatisha tamaa. Kauli hiyo ilitolewa jana Wilayani Nzega na baadhi ya wakulima wakati wa Mkutano na Mkuu wa Tabora Aggrey …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA 60 WA CUF

PMO_3575 airport

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 60 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).   Wanachama hao wamepokelewa leo mchana (Ijumaa, Desemba 29, 2017) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Nkowe kata ya Nkowe, wilayani Ruangwa mkoani Lindi.   Kabla ya kuwakabidhi …

Read More »

Wateja wa Tigo Pekee Wanafurahia Bonasi za Bure kwa Bando Zote

index

Tofauti na taarifa zilizochapishwa zinadozai kuwa Tigo ndio mtandao wenye gharama kubwa zaidi, Tigo ingependa kuwataarifu kuwa wateja wetu wanafurahia mojawapo ya gharama nafuu zaidi nchini. Bando zetu zinaanzia TZS 500; hakika wateja wa Tigo wanaonunua bando ya sauti ya TZS 500 kupitia menu yetu mpya ya 147*00 wanapata dakika …

Read More »

TAARIFA YA UCHUMI ILIYOTOLEWA LEO NA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MH. PHILIP MPANGO JIJINI DAR ES SALAAM

MPANGO

Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofifi ndogo za hazina jijini Dar es salaam wakati alipoelezea hali ya uchumi kwa kipindi cha mwaka 2017-2018 na changamoto zilizojitokeza. ……………………………………………………………………………….. JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO TAARIFA KWA VYOMBO …

Read More »

UHAMIAJI TANGA YAWAONYA VIONGOZI WA VITONGOJI NA VIJIJI VILIVYOPO MIPAKANI WANAOUZA ARDHI KWA WAGENI”

IMG_1796

VIONGOZI wa Vitongoji na Vijiji vilivyopo kwenye mipaka mkoani Tanga wameonywa kuacha tabia ya kuuza ardhi kwa wageni wanaofika kwenye maeneo yao badala yake hakikishe wanatoa taarifa wanapowaona watu wasiowajua ili kuweza kukomesha vitendo vya wahamiaji haramu. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Tanga Crispian Ngony’ani wakati akizungumza na …

Read More »

WAZIRI MPINA APOKEA RIPOTI YA KAMATI NDOGO ALIYOIUNDA KWA SIRI KUTATHMINI UTENDAJI WA SEKTA YA UVUVI KATIKA ZIWA VICTORIA

1

   Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina (kulia) akipokea ripoti ya Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi, Dk. Yohana Budeba hafla iliyofanyika …

Read More »

WENGER:MOURINHO PAMBANA NA HALI YAKO

arsene-wenger-jose-mourinho-chelsea-arsenal_3213092

KOCHA wa Arsenal, Ar­sene Wenger amesema Jose Mourinho wa Man­chester United anatakiwa kupambana na hali yake na kuacha kulialia kuhusu ghar­ama za usajili uliofanywa na Manchester City. Mara baada ya sare ya ma­bao 2-2 dhidi ya Burnley, Mourinho alisema kiasi cha pauni milioni 300 alichotumia kusajili tangu msimu uliopita hakitoshi …

Read More »

KOMBA KUANZA NA UHAKIKI WA MALI ZA UVCCM MANYARA

IMG-20171228-WA0003

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Manyara, Mosses Komba akizungumza kwenye kikao cha Baraza la UVCCM Wilayani Hanang. Mbunge wa Jimbo la Hanang’ Mkoani Manyara, Dkt Mary Nagu akizungumza kwenye kikao cha Baraza la UVCCM Wilayani Hanang. Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Manyara, Mosses Komba (wa pili kushoto) baada ya kusimikwa kuwa mzee …

Read More »

MAVUNDE AWATAKA POLISI JAMII KUUNDA VIKUNDI VYA UZALISHAJI MALI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

MV POLISI (7)

Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu( Kazi,Vijana na Ajira) Anthony Mavunde akifunga mafunzo ya Ulinzi shirikishi yaliyoshirikisha Vijana 75 katika kata ya Mtumba,Manispaa ya Dodoma. Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu( Kazi,Vijana na Ajira) Anthony Mavunde akisalimiana na viongozi mbalimbali alipokuwa akifunga mafunzo ya Ulinzi shirikishi yaliyoshirikisha Vijana …

Read More »