Friday , March 22 2019

Home / 2017 / December / 30

Daily Archives: December 30, 2017

JAFO ATAKA WAUGUZI WAPATIWE MAFUNZO YA DAWA ZA USINGIZI

Jafo mima (6)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo  akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mima. ……………………………………………………………………… WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amezitaka Ofisi za wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya nchini kuteua wauguzi kati ya wawili hadi wanne kwa kuwapeleka …

Read More »

WANANCHI WAMIMINIKA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA KAHAMA

6

Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa akimsajili mmoja wa Wananchi wa Kata ya Kahama Mjini aliyejitokeza kusajiliwa wakati zoezi la usajili likiendelea kwenye Kata hiyo. Mkusanyiko wa wananchi wa Kata ya mjini Wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wakisubiri huduma ya usajili Vitambulisho vya Taifa, zoezi linaloendelea katika Wilaya …

Read More »

Kampeni ya Uzalendo yapata Mapokeo Chanya

PIX 4

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe akiwapongeza wajumbe wa kamati ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzalendo kwa ubunifu waliyoufanya katika siku ya uzinduzi uliyofanywa hivi karibuni na Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika kikao cha tathimini  ya uzinduzi wa Kampeni …

Read More »

TRA WILAYANI MKURANGA MKOA WA PWANI YAKAMATA TANI 26 ZA MIZIGO MBALI MBALI AMBAYO ILIYOKUWA IKISAFIRISHWA BILA YA KUWA NA RISITI

TRA

NA VICTOR MASANGU, MKURANGA  MAMLAKA ya mapato  (TRA) Wilayani   Mkuranga Mkoa wa  Pwani imefanikiwa kukamata tani 26  za mizigo ya aina mbali mbali ambayo ilikuwa  imepakizwa katika malori mawili ya magari ikisafirishwa kinyemela kutokea kariakoo Jijini Dar es Salaam kuelekea mikoa ya kusini bila ya kuwa na risiti halali kinyume …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AFANYA ZIARA KATIKA HIFADHI YA SAADANI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WANAOGOMA KUONDOKA NDANI YA HIFADHI HIYO

8

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga  (katikati) akioneshwa   ramani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadani na  Mwakilishi wa Mkuu wa Hifadhi za Taifa, Vitalis Kuluka huku akishirikiana kuonesha  eneo hilo na  Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo,Erica Yigella ( wa pili kulia)    mahali kilipo Kitongoji cha Uvinje ambapo …

Read More »

MHE. SHOZA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA

PIC 04

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa pili kulia waliokaa nyuma)  akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Tengeru English Medium katika eneo la Ngurudoto Crater  alipotembelea  hifadhi ya Taifa  ya Arusha (Arusha National Park) iliyoko mkoani Arusha leo tarehe 29/12/2017. Kushoto …

Read More »

MHE MWANJELWA ATOA SIKU MOJA KWA WAFANYABIASHARA WALIOFUNGA MAGHALA YA MBOLEA LA SIVYO KUNYANG’ANYWA LESENI

1

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa (Katikati) akikagua mbegu zilizohifadhiwa ghalani kabla ya kuanza kusambazwa alipotembelea Wakala wa mbegu za kilimo (Agricultural Seeds Agency-ASA) wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro, Leo 29 Disemba 2017. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi Wakala wa Mbegu Dkt Sophia Kashenge Kilenge (Kulia) na Meneja …

Read More »