Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 31

Daily Archives: December 31, 2017

TAFUTENI TAKWIMU MPYA, WAZIRI MKUU AAGIZA

PMO_5056

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiangalia Mche Mpya wa Korosho, wakati akikagua kitalu cha miche hiyo, katika kampeni ya kitaifa ya upandaji mikorosho bora na mipya milioni 10 msimu wa 2017/2018 mjini Ruangwa, mkoani Lindi. Desemba 31, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na katikati ni Mkuu wa …

Read More »

SAME KAYA SACCOS YAWA MKOMBOZI WA WANA -SAME, KILIMANJARO

KAYA

Mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Rosemary Senyamule (kushoto) akionyesha moya ya mashine ya kufulia iliyotolewa na Same Kaya Saccos kwa kituo cha afya cha Hedaru, Kilimanjaro. Mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Rosemary Senyamule akiwa amenyanyua mikono mara baada …

Read More »

RAIS KARIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA LIMONGA

LIMO

  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mtangazaji wa Kituo cha Radio Uhuru, Limonga Justin Limonga kilichotokea leo Desemba 31, 2017 kwenye Hospitali ya TMJ, Mikocheni jijini Dar Es Salaam. Kutokana na msiba huo, Rais …

Read More »

WAPINZANI WENGINE 19 WAREJEA CCM RUANGWA

PMO_4183

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea wanachama wapya 60 wa Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Desemba 29, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu *Wamo 13 kutoka ngome kuu ya CUF Matambarare WANACHAMA 19 kutoka vyama vya upinzani katika kata …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2017 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 JIJINI MBEYA

PIX 1

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Baraza Maalum la kufunga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka mpya 2018. Baraza hilo limehudhuriwa na Maafisa na Askari kutoka vituo mbalimbali vya Magereza Mkoani Mbeya, Chuo cha Magereza Kiwira na Chuo cha Ufundi Mbeya ambapo Baraza hilo limefanyika leo Desemba 31, 2017 …

Read More »