Monday , December 10 2018

Home / 2018

Yearly Archives: 2018

MKURUGENZI WA BOT TAWI LA DODOMA AFUNGUA SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA YA UCHUMI NA FEDHA JIJINI DODOMA

001

  Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania tawi la Dodoma Bw. Richard Wambali aliyemwakilisha Dkt. Yamungu Kayandabila  Naibu Gavana anayeshughulikia Uchumi na Fedha akifungua  semina ya siku tano ya  waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali kuhusu masuala ya uchumi na fedha inayofanyika kwenye ukumbi wa (BOT) jijini Dodoma. Katika semina …

Read More »

VIDEO;Waziri Kakunda Atoa Maagizo Mazito Mtwara

1

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Joseph Kakunda, akisisitiza jambo kwa wawakilishi wa vikundi vya wabanguaji wadogo wa korosho (hawapo pichani). Kwenye kikao hicho Waziri Kakunda ameziagiza taasisi mbalimbali za serikali kuhakikisha zinafanya kazi pamoja kuwawezesha wabanguaji wadogo kushiriki zoezi la kubangua korosho zilizonunuliwa na serikali. Mwakilishi wa Mandawa …

Read More »

MNEC RATCO AKEMEA MAKUNDI,MIGOGORO KWA WANA CCM WILAYANI HANDENI

_MG_8626

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Mkoani Tanga (MNEC) Mohamed Salim alimaarufu Ratco akizungumza na wajumbe cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Handeni wakati wa ziara yake ya kujitambulisha ambapo alisisitiza umoja na mshikamano itakayofanyika mkoa mzima wa Tanga Mjumbe wa Halmashauri ya Halmashauri …

Read More »

ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

1

Afisa Masoko na Mahusiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo(TADB),Grace Ngailo(kulia) akimpa maelezo mgeni rasmi, Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kushoto)wakati wa maonesho ya taasisi za fedha kuwakutanisha na wakulima jijini Arusha. Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kulia) …

Read More »

TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU

6b

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mathias Kabundunguru akiwahutubia wahitimu wa mahafali ya 36 ya Chuo cha Ardhi Tabora jana. ……………………………………………………… NA TIGANYA VINCENT- TABORA HALMASHAURI  za Wilayani Mkoani Tabora zimetakiwa kutumia wataalamu na wanachuo wa Chuo cha Ardhi Tabora ili kuhakikisha vijiji na miji yao inapimwa …

Read More »

Mkufunzi kutoka Japan kushuhudia ‘Ngorongoro National Athletics Open Championship’

Sato katikati siku akitambulishwa kwa waandishi wa habari. Kulia kwake ni Katibu Msaidizi RT, Ombeni Zavala na Mjumbe RT, Tullo Chambo

Sato katikati siku akitambulishwa kwa waandishi wa habari. Kulia kwake ni Katibu Msaidizi RT, Ombeni Zavala na Mjumbe RT, Tullo Chambo ……………………………………………………………………….. MKUFUNZI wa Riadha kutoka Japan, Ayane Sato, anatarajiwa kushuhudia Mashindano ya Riadha ya Taifa ya Wazi ya Ngorongoro ‘Ngorongoro National Athletics Open Championship 2018’ yanayotarajiwa kurindima Uwanja wa …

Read More »

Milioni 10 za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mtumishi wa afya

002

Mshindi wa zawadi ya wiki ya shilingi milioni 10 katika promosheni ya Jigiftishe na Tigo, Mbwana Saidi Mbela (wa kwanza kulia) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi kutoka kwa Shadya Bakari (kulia) wa Tigo katika hafla iliyofanyika Chamazi jijini Dar es Salaam. Katikati ni Verykeys Julius kutoka Kitengo …

Read More »

VIONGOZI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA KUJIONEA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

002

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakionyeshwa ramani ya ofisi na Katibu Mkuu, Ofisi ya …

Read More »

TASWA YAKAMILISHA RASIMU YA KWANZA YA KATIBA YA CHAMA HICHO

Amir-Mhando

 KAMATI ya Marekebisho ya Katiba ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), imekamilisha Rasimu ya Kwanza ya Mapendekezo ya Katiba ya chama hicho na itaanza kutolewa kwa wadau mbalimbali leo Jumapili Desemba 9, 2018 kwa ajili ya kujadiliwa. Hatua ya kuandaa rasimu hiyo ya kwanza imefanywa na …

Read More »