Monday , December 10 2018

Home / 2018 / January

Monthly Archives: January 2018

Wateja wa DStv kupata ofa ya miezi miwili Bure!

IMG_1131

Meneja Masoko wa Kampuni ya Multchoice Tanzania Bw. Alfa Mria akizungumza wakati alipokuwa akitangaza punguzo la kifurushi cha DSTV Bomba “The Punguzo” Kampeni itakayoanza Februari 1 mpaka Machi 30 mwaka huu ambapo mtu anaweza kujipatia Dekoda na Dishi pamoja na kuunganishiwa kwa shilingi 79.000 tu kutoka kulia ni Meneja Huduma …

Read More »

MESUT OZIL AONGEZA MKATABA WA MIAKA MITATU NDANI YA ARSENAL

48C4DE3000000578-0-image-a-2_1517420877259

KIUNGO mshambuliaji Mesut Ozil amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Arsenal kwa mshahara wa Pauni 300,000 kwa wiki. Ozil amesaini mkataba mwingien wa miattu na nusu Hiyo imaana kwamba zile tetesi za kwamba Mjerumani huyo ataondoka London sasa ni za kupuuzwa.  Tangu mwezi Desemba mwaka jan ilikwishajulikana kwamba The Gunners …

Read More »

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wapewa Mafunzo na kampuni ya Medtronic ya Mfumo wa Umeme wa Moyo (Electrocardiogram – ECG)

picha no. 5

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwtete (JKCI) Peter Kisenge na Prof. Ahmed Osman wa Broward General Medical Centre ya nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa Moyo wa bila kufungua kifua na kumuwekea kifaa maalum cha kuusaidia moyo kufanya kazi vizuri  (pace maker) ikiwa ni …

Read More »

CCM KIBAHA MJINI YAKAMIA KUUZIKA UPINZANI UCHAGUZI 2019/2020

DSC_0245

Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini,Edwin Shunda (mwenye kofia) akishirikiana na wajumbe wa jumuiya hiyo kufyeka katika mazingira ya jengo la chama hicho wakati wa maadhimisho ya kutimiza miaka 41 ya chama hicho wilayani Kibaha leo,yaliyofanya na jumuiya ya wazazi Mjini hapo Mwenyekiti …

Read More »

WATOTO 6 WAPANDIKIZWA VIFAA VYA USIKIVU MUHIMBILI

0003

Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Pua na Masikio na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Pua na Masikio wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt Edwin Liyombo akipandikiza kifaa cha usikivu kwa mtoto Raiyyan Mshana mwenye tatizo la usikivu baada ya kumfanyia upasuaji leo. Kulia ni Profesa Hassan Wahba kutoka …

Read More »

VIONGOZI WA TFF WAENDA KWENYE MKUTANO MKUU CAF

131952_heroa

Viongozi watatu wa juu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF watahudhuria mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF utakaofanyika Februari 2, 2018 nchini Morocco. Mbali na Rais wa TFF Ndugu Wallace Karia wengine watakaohudhuria mkutano huo ni Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura …

Read More »

TFF YASIKITISHWA NA UPOTOSHAJI ULIOFANYWA NA GOLIKIPA WA SHUPAVU FC

ofisi-za-TFF 1

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limesikitishwa na kauli iliyotolewa na golikipa wa timu ya Shupavu ya Morogoro Halifa Mgwira baada ya kumalizika mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam ASFC dhidi ya Azam FC iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.  Wakati akifanyiwa mahojiano Mgwira alizungumza maneno yanayoashiria …

Read More »

KAMATI YA MAADILI YA TFF YAMFUNGIA MWENYEKITI WA ABAJALO

Dar es Salaam-20120710-00156

Kamati ya Maadili ya TFF iliyokutana Januari 28, 2018 imepitia shauri la mwenyekiti wa Abajalo FC Edgar Chibula lililofikishwa kwenye kamati hiyo na Sektretarieti ya TFF. HUKUMU Shauri la Ndugu Edgar Chibula Mwenyekiti wa Klabu ya Abajalo FC lililosikilizwa mbele ya Kamati alishtakiwa kwa kosa la kuongea maneno ya kuikashifu,kuidhalilisha …

Read More »

BASATA NA JUMUIYA YA WABUNIFU WAZINDUA CHAMA CHA MITINDO TANZANIA

????????????????????????????????????

Mwanzilishi wa Chama cha Wanamitindo Tanzania (FAT) Mustafa Hassanali (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chama hicho mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mtendaji toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza na kushoto ni Mwanamitindo mkongwe nchini …

Read More »

PERRE-EMERICK AUBAMEYANGA NI MCHEZAJI MPYA WA ASRENAL

48C265CB00000578-5334063-Aubameyang_clutches_the_club_badge_on_his_chest_in_a_display_tha-a-7_1517400413841

VURUGU za usajili barani Ulaya zimeendelea kushika kasi huku Arsenal leo wamemtambulisha staa wao mpya Pierre Aubameyang (28) leo mchana atakuwa akilipwa paundi £180,000 kwa wiki. Hata hivyo, staa huyo  aliyetoka timu ya Borrusia Dortmund amekuwa akionyesha kiwango cha hali ya juu sana kwa misimu ya hivi karibuni. Arsenal wanaonekana …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODMA LEO 31.01.2018

Pix 1 Mhe.Chenge

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akisoma muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi …

Read More »

WATOA HUDUMA ZA USINGIZI WANAHITAJIKA ZAIDI NCHINI

IMG-20180131-WA0046

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya, akihutubia mapema leo wakati wa ufunguzi wa Mtaala wa Kufundishia watu watakaotoa Huduma ya Usingizi, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi MUHAS jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Mafunzo …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA ELIMU AFAFANUA UTARATIBU WA KUPATA CHETI MBADALA/ UTHIBITISHO KWA MTU ALIYEPOTEZA

0188-Mhe.Ole-Nasha-400x242

Na Mwandishi Wetu,Dodoma NAIBU Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia,William OleNasha,amefafanua utaratibu wa kupata cheti mbadala/uthibitisho kwa mtu aliyepoteza cheti ambapo ameeleza kuwa Baraza la Mitihani litafanya kazi hiyo kwa muda usiozidi siku 30. OleNasha aliyasema hayo leo bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Mafinga Mjini,Cosato Chumi …

Read More »

MENGI AIPA TWCC JENGO LAKE KUENDELEZA UJASIRIAMALI

p.txt

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) Dk Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP LTD, amekipatia Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania ( TWCC) jengo la maonyesho la IPP Ltd lililopo ndani ya viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya Biashara jijini Dar es salaam, ili liwasaidie wanachama …

Read More »

WANAMITINDO TANZANIA WAUNGA MKONO SERA YA UCHUMI WA VIWANDA

IMG-20180131-WA0000

Na Florah Raphael. Wanamitindo wa Tanzania wameanzisha chama cha wabunifu Tanzania kinachojulikana kama Fashion Association of Tanzania (FAT)ambacho kimezinduliwa leo jijini Dar es salaam na katibu mtendaji wa basata  Godfrey Mngereza. Akiongea na vyombo vya habari katika uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa habari maelezo, Mngereza amewapongeza chama cha wabunifu …

Read More »

MTULIA AZIDI KUITEKA KINONDONI … SERA ZAKE ZAWA GUMZO

unnamed

Mgombea Ubunge katika jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya CCM Maulid Said Mtulia akinadi sera zake jukwaani na kuomba kura kwa wapiga kura wa Kata ya Ndugumbi. ………………… *YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KINONDONI, MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KATA YA NDUGUMBI JUMANNE JANUARI 30, …

Read More »