Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 01

Daily Archives: January 1, 2018

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI LUHAGA MPINA ASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA JIMBO LA KISESA KUHAMASISHA KILIMO BORA CHA ZAO LA PAMBA

1

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akishirikiana na wakulima wa Kijiji cha Itinje Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kupalilia shamba la pamba lililopandwa kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo wakati wa mapumziko yake ya sikukuu ya Mwaka Mpya jimboni kwake mapema …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA KADI ZA CHF KWA WAZEE 4,000

PMO_4152

*Ahimiza wakazi wa Ruangwa wajiunge na bima hiyo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa wajiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kumudu gharama za matibabu bila kulazimika kuwa fedha taslimu.   Ametoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa …

Read More »

MSIBA: Mke wa Naibu Waziri, Kangi Lugola afariki dunia

KANGI1-660x400

Ofisi ya Makamu wa Rais inasikitika kutangaza kifo cha Bi. Mary J. Lugola Mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. Kangi Lugola kilichotokea leo tarehe 01/01/2018 jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi na taratibu za mazishi zitatolewa baadae. Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA KADI ZA CHF KWA WAZEE 4,000

PMO_4919

*Ahimiza wakazi wa Ruangwa wajiunge na bima hiyo   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa wajiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kumudu gharama za matibabu bila kulazimika kuwa fedha taslimu.   Ametoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na mamia ya …

Read More »

HENRIETTA FORE BECOMES NEW UNICEF EXECUTIVE DIRECTOR

ms.-fore

NEW YORK, 1 January 2018 – Henrietta Fore takes office today as UNICEF’s seventh Executive Director.  Ms. Fore brings to the role more than four decades of private and public sector leadership experience. “I am honored to be joining such a remarkable organization, which I have known and admired for …

Read More »

MAPATO YA KOROSHO YAFIKIA TRILIONI 1.08 HADI SASA

IMG_5834

MAPATO kutokana na mauzo ya korosho katika msimu wa 2017/2018 katika mikoa minne ya Lindi, Mtwara, Pwani na Ruvuma yamepanda na kufikia sh. trilioni 1.08 ikilinganishwa na misimu miwili iliyopita.   Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Bw. Hassan Jarufu alitoa taarifa hiyo jana jioni (Jumapili, Desemba 31, …

Read More »

VIJANA JITOKEZENI MLIME KOROSHO – WAZIRI MKUU

PMO_5003

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wanaioishi kwenye mikoa ambayo zao la korosho linastawi wachangamkie kilimo cha zao hilo kwa sababu lina fursa nyingi.   “Mahitaji ya korosho ni makubwa duniani, korosho zinatumika mahotelini na kwenye mikutano mikubwa, zinatumika kwenye ndege, kwa hiyo bei yake lazima iwe kubwa,” alisema.   …

Read More »

KONGAMANO LA VIJANA JIMBO LA MAGOMENI KUHUSU UDHALILISHAJI

01

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar Nasima Haji Chum azungumza na Vijana wa Jimbo la Magomeni Zanzibar katika Kongamano la Wazi lilozungumzia udhalilishaji wa Kijinsia huko uwanja wa Magae ulioko katika Jimbo hilo.  ……………. Na Maryam Kidiko /Mwashungi Tahir- Maelezo Zanzibar.         MKURUGENZI wa Idara ya …

Read More »

MWONGOZO WA UFUGAJI NA UPATIKANAJI WA MASOKO YA SUNGURA

MWONGOZO WA UFUGAJI BORA

    Umeanza kufuga sungura na unakabiliwa na changamoto mbalimbali za ulishaji na magonjwa? Au unataka kuanza ufugaji wa sungura na hujui jinsi ya kufanya? Kubwa zaidi ni hili; unataka kufuga au unafuga, lakini HUJUI WAPI PA KULIPATA SOKO LA SUNGURA? Yawezekana ulipata mafunzo, ukalipa fedha nyingi kununua mabanda, mbegu …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR ASHIRIKI TAMASHA LA MAZOEZI

DSC_2148

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akiwa na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma kushoto yake,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohammed Mahmoud kulia yake na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Utalii na Michezo Omara Hassan(KING)wakiwa katika …

Read More »

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAONGEZEWA MUDA WA MWEZI MMOJA

PICHA A

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina(wa pili kushoto) akipiga chapa ng’ombe katika hitimisho la zoezi la upigaji chapa mifugo Kitaifa katika Kijiji cha Migato, Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu. Vijana wa Skauti wilaya ya Itilima wakimvisha skafu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga …

Read More »