Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 02

Daily Archives: January 2, 2018

JPM Sasa Aleta Behewa za Kisasa Treni ya Umeme

VICHWA TRENI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017. Picha kutoka Maktaba …………… Na. Mwandishi Wetu, MAELEZO Serikali kupitia …

Read More »

RAIS KARIA ASEMA ATAKAYEBAINIKA KUFANYA VITENDO VICHAFU LIGI DARAJA LA KWANZA HATAFUMBIWA MACHO ,TAKUKURU WASHIRIKISHWA

RAIS-3-750x350

  Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia amesema yeyote atakayebainika kufanya vitendo visivyo vya kiungwana kwenye mechi za Ligi Daraja la Kwanza inayoendelea TFF haitasita kuwachukulia hatua. Rais Karia alisema yapo malalamiko ambayo yanafanyiwa kazi yanayohusu michezo iliyohusisha Dodoma Fc vs Alliance na Biashara Mara …

Read More »

DK. KIGWANGALLA NA MKURUGENZI MKAZI WA UNDP KUANZISHA KIKOSI KAZI CHA KUCHUNGUZA TUHUMA ZA UJANGILI WA TEMBO KATIKA HIFADHI YA RUAHA

kigu

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam …………………………………………………………… Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi. Natalie BOUCLY wamekubaliana kuanzisha kikosi kazi cha pamoja cha kuchunguza tuhuma zilizotolewa hivi karibuni na kituo cha habari cha ITV LONDON kuhusu …

Read More »

Mafunzo wafungua chuo cha ushoni

mcc

Na Mwashungi Tahir, MAELEZO-ZANZIBAR WAZIRI Wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib, amesema mabadiliko mengi ya kimaendeleo yaliyopatikana baada ya Mapinduzi yanatokana na dhamira ya dhati ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Akiweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha mafunzo ya ushoni makao makuu ya Vyuo vya Mafunzo …

Read More »

VIDEO- TRA YATOA UTARATIBU WA KUSAJILI WALIPA KODI WADOGO

kayo

Kamishna wa Kodi za Ndani, Elijah Mwandumbya  (kulia)akizungumza  na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa Kampeni ya Usajili wa Walipakodi. ………………………………………………………………………. Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeondoa utaratibu wa awali kwa walipakodi wadogo kulipia kodi kabla ya kuanza kufanya …

Read More »

MCHEZO WA KOMBE LA MAPINDUZI KATI YA MLANDEGE NA ZIMAMOTO

IMG_0410

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Mlandege Khamis Abuu akimpita beki wa Timu ya Zimamoto Suleiman Said wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda bao 2-1 MSHAMBULIAJI wa Timu ya Zimamoto Ibrahim Hilika akimpita beki wa Timu ya Mlandege Edwin Charles …

Read More »

TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA

DSC_2349

Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar Khamis Abdul-Rahman Msham akiwasilisha Takwimu za Bei kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar. Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha …

Read More »

Sahara Group Hinges Future on Synergy, Diversification

TONYE COLE

Leading African energy and infrastructure conglomerate, Sahara Group has reinforced its commitment to sustaining its growth and expansion across global markets through diversification, collaboration and innovation The energy giant which currently has operations in over 13 countries across four continents, made this assertion in its second Sustainability Report tagged: “Sustainability …

Read More »

WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (kushoto) akiwasili chuo cha Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mtwara ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho nchini  kulia ni Mkurugenzi wa TPSC …

Read More »

UVCCM YAPONGEZA MIRADI YA AFYA TABORA

nzega26

Na Mwandishi wetu,Tabora    Umoja wa Vijana wa CCM umesema umeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya afya inayotokana na ahadi katika ilani ya uchaguzi katika halmshauri za wilaya mji  wa Nzega na Nzega vijijini mkoani Tabora.    Pia Umoja huo umeeleza kikubwa kasi hiyo inatokana na kuwepo kwa …

Read More »

Tigo Yapata Mamilionea Wapya wa Mwaka Mpya 2018

8H3H9785

Meneja wa Wateja wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akiongea kwa njia ya simu na moja wa washindi wa promosheni ya Tumia Tigo Pesa na Ushinde iliyofanyika usiku wa kuamkia mwaka mpya katika ofisi za Tigo ambapo Lugano Thomas Mlimi wa Dar es salaam, Kulthum Salim Ally wa Ruvuma na …

Read More »