Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / January / 03

Daily Archives: January 3, 2018

IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiwa ameongozana na baadhi ya maofisa wa Jeshi hilo alipofanya ziara katika bandari ya Dar es salaam, leo kwa lengo la kukagua magari 119 ya Jeshi hilo ambayo yameshawasili bandarini hapo, magari hayo ni miongoni mwa magari 777 yaliyoagizwa na Jeshi hilo. …

Read More »

TONY ELUMELU FOUNDATION ACCEPTING APPLICATIONS FOR 4th CYCLE OF $100M ENTREPRENEURSHIP DEVELOPMENT PROGRAMME

index

APPLICATION DEADLINE: March 1, 2018 PROGRAM DATES: May 1 –  December 2018   LAGOS, NIGERIA – Africa’s largest philanthropy supporting entrepreneurship – The Tony Elumelu Foundation (TEF) is now accepting applications for business ideas that can transform Africa. To apply, complete the online application at www.application.tonyelumelufoundation.org.  The deadline is midnight(WAT) on 1 March 2018. The Programme provides critical tools for business …

Read More »

DKT.MWAKYEMBE AUNDA KAMATI YA NGUMI ZA KULIPWA YA WATU 13

mwakyembe-310x165

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) leo tarehe 3 Januari, 2018 amekutana na wadau wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini. Kikao hicho ni mwendelezo wa vikao vya Mhe. Waziri na Wadau hao ili kutatua migogoro iliyodumu kwa muda mrefu katika mchezo huo wa masumbwi …

Read More »

UZINDUZI WA WODI YA KINAMAMA SHAMRASHAMRA ZA MAPINDUZI

heri

Na Ali Issa Maelezo Waziri wa nchi afisi ya Rais Tawala za mikoa na idara malumu za Serikali Haji Omar Heir amewataka kinamama kujifungulia Hospitalini na kuacha mazoea ya kujifungulia nyumbani ili kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza.  Hayo ameyasema leo katika kituo cha Afya cha Sebleni wakati wa uzinduzi wa Wodi …

Read More »

WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

PMO_4794

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola  kwenye msiba wa  mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Gerezani Railyways Club jijinio Dar es salaam leo January 3, 2018 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU) Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akitia saini …

Read More »

TRA YARAHISISHA USAJILI WA WALIPAKODI.

PICHA NAMBA 1

Kamishna wa Kodi za Ndani Elijah Mwandumbya wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea kituo maalum kilichoteuliwa na mamlaka hiyo kilichopo Chanika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kampeni ya  usajili wa walipakodi. Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka Mamlaka ya Mapato …

Read More »

PIGO KUBWA CHADEMA IRINGA MJINI WAANZA MADIWANI WAKE WAWILI KATA YA KWAKILOSA NA RUAHA WAJIUZULU

IMG_20180103_125316

Aliyekuwa  diwani  wa  kata ya  Kwakilosa  kupitia  Chadema Joseph Lyata akionyesha  barua  ya  kujiuzulu nafasi ya  udiwani  leo mbele ya  wanahabari  mjini  Iringa Lyata  akionyesha  barua  ya  kujiuzulu kwake  Udiwani Aliyekuwa   diwani wa kata ya  Kwakilosa  mjini  Iringa Joseph Lyata  akieleza  sababu za  kujiuzulu  kwake udiwani  leo  kulia  ni aliyekuwa  …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AAGANA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) ANAYEMALIZA MUDA WAKE PROF. BENNO NDULU PAMOJA NA KUKUTANA NA GAVANA MTEULE WA (BOT) PROF. FLORENS LUOGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na …

Read More »

WAZIRI WA HABARI UTALII UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR AWEKA JIWE LA MSINGI NA KUFUNGUA JENGO LA HUDUMA ZA MKONO KWA MKONO

DSC_2399

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akikunjuwa Kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Nyumba ya Wananchi itakayotumika kwa kusubiri kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi alipokwenda kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho …

Read More »

NEC YATANGAZA TAREHE YA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI MDOGO KATIKA JIMBO LA SIHA NA KINONDONI PAMOJA NA KATA 4 ZA TANZANIA BARA

p.txt

  Subira  Kaswaga  – NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo katika majimbo  ya  Siha mkoani  Kilimanjaro  na  Kinondoni mkoani  Dar  es  Salaam pamoja  na  Kata  nne  za  Tanzania  Bara  utafanyika  Februari  17, 2018 kufutia waliokuwa Wabunge katika majimbo hayo kujivua Uanachama na kukosa sifa za …

Read More »

WATOTO WANAOELELEWA VITUONI WAASWA KUJITAMBUA

unnamed

WATOTO wanaolelelewa katika vituo vya kulea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi wametakiwa kujitambua na kujikubali ili kutekeleza wajibu wao wa kupokea malezi mema. Aidha imeelezwa kuwa watoto wanathaminika sana ndio maana wapo watu wameamua kujitolea kuhakikisha wanaishi maisha ya kawaida na kuwa watu muhimu katika jamii. Kauli …

Read More »

MAKMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA KANGI LUGOLA

9

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola alipofika kutoa pole ya msiba wa mke wa Kangi Lugola, Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyefariki siku ya tarehe 01, Januari, 2018 …

Read More »

VIDEO: Ben Kinyaiya Aselebuka Na Warembo Back Stage!

ben

Ben Kinyaiya, ni mtangazaji wa kipindi cha ‘Mama Land’ kilichopo Clouds Media .Pia ni msanii wa Muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutoa ngoma zake ikiwa ni pamoja na wimbo uitwao ‘Fire’. Huu ni usiku wa tukio lililo fanyika mwaka 2017 ambapo kulikuwa na shindano la kumssaka Mrembo Asilia 2017 Kunduchi. …

Read More »

MHE MWANJELWA: MAENDELEO HAYANA MIPAKA YA VYAMA

1

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akishiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya Sekondari Iyera wakati akiwa ziarani Mkoani Mbeya, Jana 2 Januari 2018. Picha Zote Na Mathias Canal Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akikabidhi mifuko 20 ya saruji kwa ajili …

Read More »

UTALII WA TANZANIA WAANZA MWAKA 2018 KWA KISHINDO

1_

Baadhi ya Watalii wakishuka kutoka kwenye meli ya kitalii ya kampuni ya Nautica Majuro katika Bandari ya Dar es Salaam. Mtalii wakipiga picha “Selfie” punde baada ya kuwalisili katika Bandari ya Dar es Salaam. Mtalii kicheza ngoma baada kunogewa na mrindimo wa ngoma ya utamaduni wa Tanzania. …………………. Bodi ya …

Read More »