Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 04

Daily Archives: January 4, 2018

SIMU NYINGINE KALI IKIWA YA KWANZA KUTOKA TECNO

full glass2

TECNO kampuni ya simu za mkononi iliyojizolea umaarufu barani Africa na Mashariki ya kati kupitia uzalishaji wake wa simu janja (smart phone) imeendelea kushika chati katika masoko mbalimbali barani Afrika. Kama ilivyo kwa kila mwaka, kampuni ya TECNO huzindua simu mpya na hua ni muendelezo wa matoleo yaliopita. Kwa mwaka …

Read More »

TANZIA:MKE WA MWANASIASA MKONGWE MZEE KINGUNGE AFARIKI DUNIA

mke_

MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kueleza kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake pia ni mgonjwa. “Ni kweli mama amefariki na baba amelala …

Read More »

WAZIRI MPINA ATOZA FAINI YA MILIONI 180 VIWANDA VYA KUCHAKATA MINOFU YA SAMAKI, AWASIMAMISHA KAZI VIGOGO WATATU KITENGO CHA UDHIBITI WA USALAMA NA UBORA WA MAZAO YA UVUVI KITENGO CHA MWANZA

Picha no 2

Meneja uchakataji wa Kiwanda cha kuchakata samaki Victoria cha jijini Mwanza, Endwin Okwong’o (aliyeshika kofia) akimuelezea Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani), namna ambavyo wanapokea samaki kutoka kwa mawakala na kuwachambua kabla ya hatua ya kuchakata kiwandani hapo kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uvuvi, …

Read More »

WAHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUSHUGHULIKIWA

2

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Menejimenti na Wafanyakazi wa Bodi wa Mfuko wa Barabara (Road Fund Board), alipowatembelea mkoani Dodoma, Leo. Kaimu Meneja wa Bodi wa Mfuko wa Barabara (Road Fund Board), Mhandisi Rashid Kalimbaga, akitoa taarifa ya utendaji wa mwaka wa fedha 2017/2018, kwa …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI RUVUMA KWA ZIARA

RG1A8025

NA DITHA NYONI Waziri mkuu Kassim Kajaliwa amewasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku sita ambapo katika ziara hii waziri mkuu atatembelea halimashauri ya MBINGA,na NYASA na kuhitimisha katika Manispaa ya SONGEA ,nakuzungumza na wananchi katika uwanja wa majimaji,huku miradi mbalimbali anatarajia kutembelea ikiwemo kuweka jiwe la msingi kwenye jengo …

Read More »

NEW:Dar Bongo Massive-Love ( Official Audio)

IMG-20171222-WA0012

Dar Bongo Massive ni moja kati ya kundi la wasanii wa muziki nchini Tanzania wenye vionjo vya kiasili, unapo zungumzia Dar Bongo Massive, hapo ujue umemzungumzia Goody sense, Big Inno na Digospy.   Ikiwa ndio kwanza tunauanza mwaka 2018 Dar Bongo Massive wamefungulia goli kwa truck mpya ambayo imepewa jina …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA JAMHURI SC LEO USIKU SAA 2:15

DSC_0764

. Saa 2:15 Usiku 1.Emmanuel Mseja 2.Erasto Nyoni 3.Shiza Kichuya 4.Juuko Murshid 5.Asante Kwasi 6.James Kotei 7.Nicholas Gyan 8.Mzamiru Yassin 9.Moses Kitandu 10.John Boco 11.Mwinyi Kazimoto Benchi -Ally Salim -Jonas Mkude -Said Hamis -Yusuph Mlipili -Jamal Mwambeleko -Mohammed Ibrahim -Kelvin Faru -Laudit Mavugo #Mapinduzi_Cup

Read More »

TRA YAJIZATITI KUONGEZA IDADI YA WALIPAKODI

download

  Na: Veronica Kazimoto, Dar es Salaam. Mwaka huu wa fedha wa 2017/18, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imedhamiria kuongeza  idadi ya walipakodi kwa ajili ya kuisaidia nchi yetu kupunguza kutegemea misaada kutoka kwa wahisani. Lengo kuu la kuongeza walipakodi ni kupanua wigo na kuongeza makusanyo ambayo hutumika katika kuleta …

Read More »