Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 08

Daily Archives: January 8, 2018

WAZIRI JAFO APONGEZA JITIHADA ZA MBUNGE WA MAKAMBAKO

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo(Katikati) alipotembelea Hospital ya Mji wa Makambako. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akisalimia na Muuguzi wa Hospital ya Mji wa Makambako alipotembelea Hospital hiyo kukagua utoaji wa uduma za Afya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani …

Read More »

CHUO CHA IFM MABINGWA LIGI YA VYUO

IMG_9947-750x350

  Chuo cha IFM wametwaa ubingwa wa Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar Es Salaam baada ya kuishinda Chuo cha Ardhi kwa magoli 6-4 kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa kwenye Ufukwe wa Coco Jumapili Januari 7, 2018.   Kufika fainali IFM ilicheza na Chuo cha TIA …

Read More »

RAIS KARIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA ATHUMAN CHAMA

RAIS-KARIA-750x350

  . Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Athuman Juma “Chama” maarufu kama Jogoo aliyefariki usiku wa kuamkia leo Januari 8, 2018 kwenye hospitali ya Taifa …

Read More »

DKT. NDUGULILE ASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA KIJIJI CHA NYANGANGA KATIKA ZOEZI LA KUAMSHA ARI YA WANANCHI KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI KIGOMA

Pix 10

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile(Mb) akitia saini katika kitabu cha wageni mara alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa ajili ya Ziara ya siku mbili ya kikazi Mkoani hapo. Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Dkt. …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA URA LEO, MFUMO 3-5-2

Simba-Wachezaji-Bongosoka

1.Emmanuel Mseja-30 2.Nicholas Gyan-29 3.Asante Kwasi -16 4.Juuko Murshid -06 5.Erasto Nyoni -18 6.Jonas Mkude-20 7.Mwinyi Kazimoto-24 8.Yassin Mzamiru-19 9.Moses Kitandu-35 10.John Bocco-22 11.Shiza Kichuya-25 SUBS. 1.Ali Salim – 31. 2.Mohamed Hussein-15 3.Paul Bukaba-23 4.Jamali Mwambeleko-26 5.Yusufu Mlipili-05 6.Said Hamisi Ndemla-13 7.James Kotei-03 8.Mohamed Ibrahim-04 9.Laudit Mavugo-11

Read More »

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI,DARASA LA NNE

msonde

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya …

Read More »

MKAKATI WA CHUO CHA KODI UMEKUJA KATIKA WAKATI MWAFAKA

ngao

  Na Ismail Ngayonga, MAELEZO DAR ES SALAAM   TANZANIA kama ilivyo kwa nchi nyingine za Bara la Afrika inaendelea na juhudi za kukuza mapato ya ndani hatua inayolenga kupunguza utegemezi na kuongeza uwezo wa Serikali katika kutoa huduma za jamii na kiuchumi kwa wananchi wake. Dhamira ya utekelezaji wa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

IMG-20180108-WA0005

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukubaliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. KUHARIBU MIUNDOMBINU YA KAMPUNI YA MAWASILIANO – TTCL. Siku za hivi karibuni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilipata taarifa kuhusu uhalifu wa kuhujumu miundombinu …

Read More »