Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 11

Daily Archives: January 11, 2018

CAF YAMTEUA RAIS KARIA KUSIMAMIA CHAN

Pix-2-6

  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa wachezaji wa ndani CHAN kati ya Morocco na Mauritania itakayochezwa Januari 13, 2018.   Mchezo …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali Karume kwenye msiba wa Bw. Said Abdallah Natepe aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu …

Read More »

BARAZA LA WAFANYAKAZI MUHIMBILI LAKUTANA

0001

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akifafanua jambo kwenye mkutano wa Baraza la Wafanyakazi Muhimbili. Kushoto ni Katibu wa Baraza hilo, Eneza Msuya na kulia ni wawakilishi kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Zaria Mmanga na Pascal Magesa. Baadhi ya Wafanyakazi wa Hospitali ya …

Read More »

MAN UNITED YAIVURUGA ‘MAN CITY’ KWA SANCHEZ YATOA DAU NONO

alexis-sanchez-1024x558

    Manchester United sasa imeamua kutibua ‘pilau’ la majirani zao Manchester City kwa kutangaza nao kumtaka mshambuliaji Alexis Sanchez. Man City ndiyo wamekuwa wakipambana kumpata Sanchez na walisema wako tayari pauni million 20 kumsajili. Lakini Man United chini ya Jose Mourinho nao wameibuka na kusema wake tayari kumnasa Sanchez …

Read More »

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATANGAZA RASMI VIWANGO VIPYA VYA ADA KWA MAWAKALA WA KUSAFIRISHA WATALII NCHINI

_DSC1331

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (kushoto).   Na Hamza Temba-WMU-Dar es Salaam ……………………………………………………………..   Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi viwango vipya vya malipo ya ada kwa Mawakala wa kusafirisha watalii nchini baada ya kukamilika …

Read More »

TFRA Yatekeleza Agizo la Rais Kusambaza Mbolea Nchi Nzima

PIX1-5

               Na Fatma Salum (MAELEZO) Kufuatia agizo la Mhe. Rais John Pombe Magufuli la kuwataka watendaji wanaohusika na usambazaji wa mbolea nchini kukamilisha kazi hiyo kabla ya Ijumaa wiki hii, zaidi ya nusu ya mbolea hiyo tayari imesambazwa nchi nzima. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) Bw. …

Read More »

JALADA KESI YA MALINZI LARUDI TAKUKURU

malinzi-631x400-631x400

Jalada la kesi ya  utakatishaji wa fedha inayomkabili aliyekuwa rais wa (TFF), Jamal Malinzi na wenzake limerudishwa Takukuru  kwa maagizo ya kurekebisha vitu vichache ili kukamilisha iuchunguzi. Mbali ya Malinzi, wengine ni Katibu wa TFF, Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa shirikisho hilo, Msiande Mwanga. Wakili wa serikali kutoka Takukuru, Leornad Swai …

Read More »

Naibu Spika wa Bunge Mhe.Dkt. Tulia Ackson amekabidhi Televisheni nne ambazo zimefungwa kwenye wodi za watoto na kliniki katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Picha no. 3

Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Delila Kimambo akimweleza  Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt.  Tulia Ackson maendeleo ya afya za pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili …

Read More »

Wanafunzi Wanaojitolea Kufundisha Waiomba Serikali Kuwasaidia

IMG-20180111-WA0001

    Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE), wanaotumia muda wao wa ziada kujitolea kufundisha katika shule za Msingi na Sekondari wameiomba Serikali kuwapa ushirikiano ili waweze kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi. Ombi hilo limetolewa leo jijini Dar …

Read More »

STATEMENT BY HON. HAMISI KIGWANGALLA (MP), MINISTER FOR NATURAL RESOURCES AND TOURISM, DURING THE LAUNCHING OF THE DESTINATION TANZANIA BRANDING COMMITTEE,HELD AT THE NATIONAL COLLEGE OF TOURISM, BUSTANI CAMPUS, DAR ES SALAAM, JANUARY 11, 2018.

IMG_7097

_____________ Maj. Gen. Gaudence Milanzi – Permanent Secretary, Ministry of  Natural Resources and Tourism; Dr. Aloyce Nzuki, Permanent Secretary, Ministry of Natural Resources and Tourism; Ms. Devota Mdachi , Co-Chair, Destination Tanzania Branding Committee; Mr. Richard Rugimbana, Co-Chair, Destination Tanzania Branding Committee; Appointed Members of the Destination Tanzania National Branding …

Read More »