Friday , March 22 2019

Home / 2018 / January / 12

Daily Archives: January 12, 2018

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAMILIKI WA VIWANDA VYA MAZAO YAMISITU NCHINI

1m

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akizungumza na  Rais wa Shirikisho la viwanda vya misitu Tanzania (SHIVIMITA) Ben Sulus  (kulia) wakati Rais  huyo  alipokuwa  akiwasilisha  taarifa  ya  wamiliki wa viwanda vya mazao ya misitu  wakati wa kikao   kilichofanyika jana  mjini Dodoma, ikiwa lengo la kikao hicho ni …

Read More »

YANAYOTARAJIWA KATIKA SIMU MPYA AINA YA CAMON CM KUTOKA TECNO!

comparison

  Kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Ltd imeendeleza cheche zake katika kuhakikisha inazalisha bidhaa stahiki kufuatia ongezeko la watumiaji wa simu na matumizi mbalimbali kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia. Mwaka jana kulikua na tetesi za kuwa kwa mwaka 2018 wanatarajia kutoa simu mpya ambayo itakua ya kwanza kutoka …

Read More »

TABORA WAADHIMISHA MIAKA 54 YA MAPINDUZI KWA KUPANDA MITI

IMG_3212

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA 12 January 2018 MKUU wa Mkoa wa Tabora aggrey Mwanri amewaongoza wakazi mkoani humo katika kuadhimisha sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa kuendesha zoezi la upandaji miti katika maeneo mbalimbali mkoani humo. Mkuu huyo wa Mkuu wa Mkoa alianza maadhimisho kwa …

Read More »

RAIS MAGUFULI KUMPOKEA RAIS KAGAME

kagame-na-magufuli

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Dr. John Magufuli* anatarajia kumpokea Rais *Paul Kagame* wa Rwanda anaetaraji kuwasili Nchini Jumapili ya *January 14* majira ya Asubuhi kwa *Ziara ya Kikazi.* Akizungumza kuhusu ujio huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Paul Makonda* amesema *uwezo mkubwa wa Rais …

Read More »

RC TABORA: KUANZIA JUMATATU KAMATENI WAZAZI AMBAO WATOTO WAO WAMESHINDWA KURIPOTI SHULENI

RC1

NA TIGANYA VINCENT RS-TABORA 12 January 2018 SERIKALI Mkoani Tabora imeagiza kukamatwa mara moja wazazi au walezi ambao hadi kufikia Jumatatu ijayo (15January 2018) watakuwa wameshindwa kuhakikisha kuwa watoto wao waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka huu watakuwa hajaripoti katika Shule walizopangiwa. Agizo hilo limetolewa jana mjini Sikonge na Mkuu …

Read More »

MTU MMOJA AFARIKI KATIKA MAFURIKO CHEMBA DODOMA

20180112_022716

Askari wa zimamoto wakiendelea na zoezi la kuokoa watu waliozingirwa na maji.   Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga akizungumza na maafisa wa jeshi la zimamoto katika zoezi la kuhamisha wananchi waliozingirwa na maji.   Wananchi wakihamisha mali zao kutokana na nyumba  zao kuzingirwa na maji.   Wananchi wakihamisha …

Read More »