Thursday , January 18 2018

Home / MCHANGANYIKO / IGP SIRRO AZUNGUMZA NA ASKARI WA VIKOSI VYA MJINI MAGHARIBI,KUSINI NA KASKAZINI UNGUJA JANA

IGP SIRRO AZUNGUMZA NA ASKARI WA VIKOSI VYA MJINI MAGHARIBI,KUSINI NA KASKAZINI UNGUJA JANA

IMG-20180112-WA0028 IMG-20180112-WA0029 IMG-20180112-WA0030 IMG-20180112-WA0031 IMG-20180112-WA0032

MKUU WA JESHI LA POLISI IGP SIMON SIRRO, AKIZUNGUMZA NA ASKARI WA VIKOSI VYA MJINI MAGHARIBI, KUSINI UNGUJA NA KASKAZINI UNGUJA JANA ALIPOKWENDA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KIKAZI NA MAOFISA NA ASKARI VISIWANI UNGUJA. IGP SIRRO ALIWATAKA ASKARI VISIWANI HUMO KUHESHIMU WANANCHI WAKIWA KWENYE KAZI ZAO ILI KUENDELEA KULETA HESHIMA YA JESHI LA POLISI

About Alex

Check Also

PMO_8348

SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimu wagonjwa wakati alipotembela hospitali ya wilaya ya Tarime akiwa katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × 1 =