Friday , January 18 2019

Home / MCHANGANYIKO / RAIS MAGUFULI KUMPOKEA RAIS KAGAME

RAIS MAGUFULI KUMPOKEA RAIS KAGAME

IMG-20180112-WA0033

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Dr. John Magufuli* anatarajia kumpokea Rais *Paul Kagame* wa Rwanda anaetaraji kuwasili Nchini Jumapili ya *January 14* majira ya Asubuhi kwa *Ziara ya Kikazi.*

Akizungumza kuhusu ujio huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Paul Makonda* amesema *uwezo mkubwa wa Rais Magufuli*, Demokrasia imara na Amani ni miongoni mwa *Mambo yanayowavutia Wageni kuja Tanzania* akiwepo *Rais Kagame* wa Rwanda.

*RC Makonda* amesema baada ya Kuwasili kwa *Rais Kagame* kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere ataelekea moja kwa moja Ikulu kwaajili ya *Mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli.*

Aidha *RC Makonda* amewaomba wananchi Kujitokeza kwa wingi *kumlaki Rais Kagame Kama ilivyo desturi yetu ya kuwapokea wageni* kwa ukarimu.

About Alex

Check Also

PICHA NA. 2-min

KILOSA WATAKA MABWAWA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAFURIKO

Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe akimsikiliza Mkurugenzi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen − twelve =