Wednesday , December 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

PMO_5443 copy

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

PMO_5392

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharib Bilal wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

PMO_5394

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkta Salim Ahmde Salim  wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

PMO_5470

Baadhi ya wake wa viongozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Aman leo mjini Zanzibar.

PMO_5474

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Fatma Karume  wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

PMO_5478

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

PMO_5484

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana naRais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

PMO_5486

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete  wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

About bukuku

Check Also

barabara sita

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA BARABARA YA MOROGORO SEHEMU YA KIMARA STOP OVER – TEMBONI

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kuutarifa umma kuwa kesho tarehe  19/12/2018, itafunga kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

sixteen − eleven =