Thursday , February 21 2019

Home / BIASHARA / YANAYOTARAJIWA KATIKA SIMU MPYA AINA YA CAMON CM KUTOKA TECNO!

YANAYOTARAJIWA KATIKA SIMU MPYA AINA YA CAMON CM KUTOKA TECNO!

  kioo

Kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Ltd imeendeleza cheche zake katika kuhakikisha inazalisha bidhaa stahiki kufuatia ongezeko la watumiaji wa simu na matumizi mbalimbali kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia.

Mwaka jana kulikua na tetesi za kuwa kwa mwaka 2018 wanatarajia kutoa simu mpya ambayo itakua ya kwanza kutoka kwao na itakua ya kipekee kulingaisha na simu zilizotangulia awali.

comparison

Kumekua na habari mbalimbali kutoka kwa wafuatiliaji wa teknolojia kuwa, kwa mwaka 2018, kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Ltd itatoa muendelezo wa toleo la CAMON, kwanai mwaka jana muda kama huu walitoa muendelezo wa simu ya CAMON na kutoa CAMON CX na ilikua ni moja ya simu iliyokubalika sana kwa wadau na watumaji wa bidha z TECNO.

kamera2

Hivo inaamika kwa mwaka huu pia watatoka na muendelezo huo. CAMON CX ilikua ni simu yenye uwezo mkubwa wa Camera kwani ilikua na MP 16 kamera ya mbele na nyuma na hivyo kuteka soko kubwa la watuamiji wa simu janja (SmartPhone).

Kwenye hii simu mpya kunauwezekano ikawa na vitu vizuri zaidi kutoka na tafiti za watumiaji na wadau wa simu kutoka TECNO!

Muundo : Kutokana na mabadiliiko ya tekinolojia makampuni ya simu yamekua yakibadilisha upepo na kwenda na mabadiliko ya kitekinolojia na mahitaji ya watumiaji wa simu janja (SmartPhone), hivyo simuu hii mpy ainataraajiwa na kuwa na skirini nzima yenye kioo!

kamera

Kamera: Simu za nyuma zimekua zikifanya vizuri kwa upande wa kamera, kwenye simu hii kamera inaweza ikawa ni FULL HD.

design

Mtandao wa 4G : Mfumo wa mtandao (Network) inatarijiwa kuwa ni 4G LTE, kasi zaidi kulinganisha na simu zingine.

4g

Bei nafuu : Bei yake inawezakufika kwenye laki 3 (300,000 TZS),  bei itakua nafuu kulinganisha na Phantom 8 iliyozinduliwa mwaka jana ambayo bei yake ilikua juu kidogo.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya TECNO www.tecnotz.com na kurasa zao za mitandao yao ya kijamii

 

About Alex

Check Also

index

WAZIRI MKUU: NBC ONGEZENI WIGO WA BIASHARA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Benki ya Biashara nchini (NBC) iongeze wigo wake ili …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

9 − three =