Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 13

Daily Archives: January 13, 2018

ASILIMIA 80 YA WANAOHITAJI DAMU NCHINI NI WANAWAKE.

????????????????????????????????????

Waziri wa afya, Maendeleo ya  Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu aliyesimama akiongea na wananchi hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu iliyoandaliwa na Chama cha wanawake cha Tasania ya Filamu nchini leo jijini Dar es salaam. …………………………………………………………………………… NA WAMJW-DAR ES SALAAM   ASILIMIA 80 ya wanaohitaji …

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA (CCM) HUMPHREY POLEPOLE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

2

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu …

Read More »

NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA-MAJALIWA

PMO_6578

Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi  wa Serekali pamoja na Watendaji waTanesco, REA. katika kikao cha maendeleo ya usambazaji umeme kilichofanyika , leo (Jumamosi, Januari 13, 2018)Ofisini kwake, Mjini Dodoma (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)  ……………………………………………………………………………….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa …

Read More »

GUARDIOLA AWEKA REKODI YA KOCHA BORA LIGI KUU YA ENGLAND

_99569175_1pg

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameweka rekodi mpya Ligi ya Premia kwa kutawazwa meneja bora wa mwezi mara nne mtawalia. Guardiola, 46, ametawazwa meneja bora wa mwezi Desemba baada ya klabu yake kushinda mechi sita ligini na kutoka sare mechi moja. Meneja wa Chelsea Antonio Conte alikuwa anashikilia rekodi …

Read More »

NI URA AU AZAM TENA BINGWA MAPINDUZI CUP 2017 LEO?

271A7610

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Leo Jumamosi itakuwa kibaruani kutetea taji lake la Kombe Mapinduzi, pale itakapokuwa ikipambana na URA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar saa 2.15 usiku. Mbali na kuwa mtihani wa kutetea ubingwa walioutwaa mwaka jana kwa kuifunga …

Read More »

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKABIDHI JESHI LA POLISI MKOA WA KILIMANJARO MSAADA WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA

_86A8606

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya mawasiliano ya Kmpyuta kwa jeshi hilo. Gwaride la Heshima lililoandaliwa …

Read More »

RC TABORA: AMCOS ZOTE KUANZA KUPANDA MITI JUMATATU

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA VIONGOZI wa vyama vya ushirika vya msingi (AMCOS) wameagizwa  kuhakikisha wanasimamia wanachama wao wanapanda miti ili   kuhifadhi mazingira na kupata nishati ya kukaushia tumbaku. Kauli hiyo ilitolewa jana wilayani Urambo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akitangaza wiki ya upandaji miti kwa ngazi ya AMCOS na …

Read More »

UHAKIKI WA MALI ZA UVCCM KILIMANJARO

IMG-20180113-WA0004

   Kamati ya utekelezaji Mkoa wa Kilimanjaro ikiongozwa na Mwenyekiti IVAN SAMSON MOSHI   leo tarehe 12/01/2018 imefanya uhakiki  wa mali za UVCCM KILIMANJARO   Kamati imebaini mambo mengi ambayo yalitokea kipindi kilichopita na Mwkt ameagiza mikataba yote ipitiwe upya haraka ili kuwezesha UVCCM  kunufaika na miradi ya Vijana tofauti na …

Read More »

KAIMU MKURUGENZI UZALISHAJI MIFUGO NA MASOKO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI DK. ASSIMWE RWIGUZA ASHIRIKI UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOA WA SHINYANGA

1

 Kaimu Mkurugenzi wa uzalishaji  Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Dk. Assimwe Rwiguza akipigaji chapa ng’ombe katika Kijiji cha Idodoma Wilaya ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 wa mifugo walioko katika mikoa 26 kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa linalotarajiwa …

Read More »

SHAKA AMFAGILIA JAFO NA KUNIKUNI KISARAWE

jaff (1)

   Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka  akiwa na Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo katika ufungaji wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kurui.        Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka  akivishwa skafu wakati …

Read More »