Thursday , January 18 2018

Home / MCHANGANYIKO / BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO

BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG Ke kabla ya kwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.

 

Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi
yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG Ke akiwasilisha Nakala za Hati za
Utambulisho
kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga jijini Dar Es Salaam leo.

 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa
Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG
Ke mara baada ya zoezi la kwasilisha Nakala za Hati za Utambulishokukamilika.

 

Mazungumzo yanaendelea.

About bukuku

Check Also

PMO_8348

SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimu wagonjwa wakati alipotembela hospitali ya wilaya ya Tarime akiwa katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

17 + eleven =