Thursday , July 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / KAIMU MKURUGENZI UZALISHAJI MIFUGO NA MASOKO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI DK. ASSIMWE RWIGUZA ASHIRIKI UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOA WA SHINYANGA

KAIMU MKURUGENZI UZALISHAJI MIFUGO NA MASOKO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI DK. ASSIMWE RWIGUZA ASHIRIKI UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOA WA SHINYANGA

 Kaimu
Mkurugenzi wa uzalishaji  Mifugo na Masoko
wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Dk. Assimwe
Rwiguza akipigaji chapa ng’ombe katika Kijiji cha Idodoma Wilaya ya Shinyanga
ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 wa mifugo walioko katika mikoa 26 kusimamia
na kufuatilia utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa linalotarajiwa kukamilika
January 31 mwaka huu.
 Kaimu Mkurugenzi
wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi  Dk
Asimwe  Rwiguza akitoa
ufafanuzi wa mahali sahihi panapotakiwa kupiga chapa kwa ng’ombe kwa wafugaji
wa Kijiji cha Idodomya wilayani Shinyanga. kushoto ni Afisa Mifugo wa Halmashauri
ya Wilaya Shinyanga, Dk. Clement Batisiliko
Kaimu Mkurugenzi
wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi  Dk.
Asimwe  Rwiguza akitoa
ufafanuzi kwa wafugaji wa Kijiji cha Idomya umuhimu wa kupiga chapa mifugo yao
kabla ya muda wa nyongeza uliowekwa na Serikali kumalizika wa Januari 31 mwaka
huu ambapo Dk. Assimwe ni miongoni mwa timu ya wataalamu 15 wa Wizara ya Mifugo
na Uvuvi walioko kwenye mikoa 26 ya Tanzania bara kusimamia na kufuatilia utekelezaji
wa zoezi la upigaji chapa.

About Alex

Check Also

rpc nley

WATU 18 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI TABORA

NA TIGANYA VINCENT TABORA POLISI Mkoa wa Tabora linawashikiria watu 18 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × five =