Sunday , March 25 2018

Home / MICHEZO / WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION MILIONI 2 BAADA YA KUIFUNGA KURUGENZI WA MUFINDI MABAO 3-0 LEO

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION MILIONI 2 BAADA YA KUIFUNGA KURUGENZI WA MUFINDI MABAO 3-0 LEO

 Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka
kulia Ummy Mwalimu  akimkabidhi kitita cha sh.milioni mbili nahodha wa
timu ya Coastal Hussein Sharifu maarufu Casilasi mara baada ya timu hiyo
kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi daraja la kwanza
uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga leo kulia ni
Mwandishi wa TBC Tanga Bertha Mwambela
akishuhudia
 Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka
kulia Ummy Mwalimu akimkabidhi kitita cha sh.milioni mbili nahodha wa
timu ya Coastal Hussein Sharifu maarufu Casilasi mara baada ya timu hiyo
kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi daraja la kwanza
dhidi ya Kurugenzi wa Mufindi uliochezwa kwenye uwanja wa CCM
Mkwakwani mjini Tanga leo
 Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka
kulia Ummy Mwalimu akicheza ngoma ya kiisifu Coastal Union wakati
alipokuwa akihamasisha ushindi wa timu hiyo kwenye uwanja wa CCM
Mkwakwani leo ambapo Coastal Union iliibuka na ushindi wa mabao 3-0
dhidi ya Kurugenzi wa Mufundi

dhidi ya Kurugenzi wa Mufundi(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya
Tanga Raha)

About bukuku

Check Also

MWAKYEMBE

DKT.MWAKYEMBE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MCHEZAJI WA MPIRA WA KIKAPU WA TIMU YA JKT QUEENS BI.YVONNE WAMBURA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

12 − 7 =