Monday , October 22 2018

Home / MICHEZO / WAZIRI UMMY ASHUHUDIA COASTAL UNION IKIILAZA KURUGENZI YA MUFINDI MABAO 3-0 DAKIKA 45 ZA KIPINDI CHA KWANZA LEO

WAZIRI UMMY ASHUHUDIA COASTAL UNION IKIILAZA KURUGENZI YA MUFINDI MABAO 3-0 DAKIKA 45 ZA KIPINDI CHA KWANZA LEO

Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu ambaye
alikuwa mgeni rasmi katika mchezo baina ya Coastal Union na Kurugenzi ya
Mufundi akifuatilia mchezo huo katikati akiwa na Jezi ya Coastal Union
kushoto ni Mwenyekiti wa timu ya Coastal Union Steven Mguto na Kulia ni
Katibu wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga(TRFA) Beatrice Mgaya (Habari
kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
 Sehemu ya mashabiki wa
soka mkoa wa Tanga wakiojitokeza kufuatilia mchezo huo
 Wachezaji wa timu ya Coastal
Union wakishangilia moja ya bao nne ambazo walifunga wakati wa kipindi
cha dakika 45 za kwanza kabla ya kuanza kipindi cha
pili
ambapo
Coastal Union ilikuwa ikiongoza kwa mabao 3-0
 Mchezaji wa timu ya Coastal Union
Raizani Hafidhi kushoto akijaribu kumtoka wa timu ya Kurugenzi FC ya
Mufindi Nickraus Mwansumbule wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la kwanza
uliochezwa leo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga ambapo mpaka
dakika 45 Coastal Union walikuwa wakiongoza kwa mabao 3-0

About bukuku

Check Also

44555555_710168226029625_4567196582511902720_n

AJIBU AISAIDIA YANGA KUITWANGA ALLIANCE FC 3-0 MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA

Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM KIKOSI cha Yanga SC kimeendelea kuwapa faraja mashabiki wake …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 − four =