Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / January / 14

Daily Archives: January 14, 2018

TBA YATAKIWA KUHAKIKISHA MAENEO YAO YANA HATI

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Mtwara Edward Mwangasa, wakati alipokuwa akikagua nyumba zinazomilikiwa na Wakala huo, mkoani humo. Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Mtwara Edward Mwangasa, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MADINI BITEKO ,AMEWATAKA WACHIMBAJI WADOGO KUZINGATIA SHERIA YA USALAMA KWENYE MAENEO YAO YA KAZI

DSC_0106

Naibu waziri wa madini Doto Biteko,Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Buntumbili  Wilayani Bukombe ambapo kulitokea tukio la mchimbaji kufukiwa na kifusi wakati alipokuwa kwenye shughuli za uchimbaji.     Naibu waziri wa madini Doto Biteko,akisaini kwenye kitabu cha wageni wakati alipokuwa akiwasili kwenye ofisi ya mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

Reli ya ‘Standard Gauge” Sasa Dar Mpaka Rwanda

11

Na. Judith Mhina Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania na Rwanda zimekubaliana kuunganisha Reli ya Kisasa (Standard Gauge) kutoka Isaka mkoani Shinyanga mpaka Kigali nchini Rwanda, ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizi mbili. Rais Magufuli ameeleza hayo leo Ikulu …

Read More »

WAZIRI MKUU AUVUNJA MFUKO WA KUENDELEZA KAHAWA

PMO_6968

*Amuagiza CAG kufanya uchunguzi tangu kuanzishwa kwake   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF) na amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuchunguza mwenendo wa mfuko huo tangu ulipoanzishwa. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Januari 14, 2018) wakati akizungumza na …

Read More »

SANCHEZ KULIPWA MSHAHARA WA REKODI MAN UNITED

Alexis-Sanchez-2

Uongozi wa klabu ya Manchester United uko tayari kutoa mshahara  mnono zaidi katika EPL kwa mshambuliaji Alexis Sanchez. Kama Arsenal na Man United zitakubaliana na aria huyo wa Chile kutoa Old Trafford, basi kwa wiki atakuwa akipokea pauni 350,000. Lakini Man City nayo imekuwa ikionyesha nia ya kumpata Sanchez hats …

Read More »

MIGODI YA WACHIMBAJI WADOGO BUHEMBA YAFUNGULIWA

TATU

Naibu Waziri wa Madini, Stansalus Nyongo (kulia) akijiandaa kufungua rasmi Migodi ya Dhahabu ya Wachimbaji Wadogo wa Buhemba, Wilayani Butiama Mkoani Mara. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (kushoto) wakati wa kufungua migodi ya wachimbaji wadogo ya Buhemba. Wa pili …

Read More »

SERIKALI YAMCHARUKIA MKANDARASI DOTT

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Mkandarasi Dott Service na Mhandisi Mshauri kutoka Kampuni ya Kyongdong Engineering wanaojenga barabara ya Mtwara – Mnivata yenye urefu wa KM 50 kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi huyo kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo haraka. Mbunge wa Jimbo la Nanyamba …

Read More »