Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 16

Daily Archives: January 16, 2018

YANGA YALAMBA MKATABA WA MABILIONI KWA MIAKA MITATU

IMG-20180116-WA0048

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa akisaini makubaliano ya mkataba na Mkurugenzi wa MACRON Tanzania Suleiman Karim wenye thamani ya Bilion 2 kwa ajili ya vifaa vya michezo uliotiwa saini leo Mbele ya waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam. Na Agness Francis, Blogu ya jamii  KLABU ya Yanga ya …

Read More »

ZAIDI YA WANAFUNZI ELFU SABA WAANDIKISHWA DARASA LA KWANZA GEITA MJINI HUKU TATIZO LA UHABA WA MADARASA LIKIWATESA WANAFUNZI NA WALIMU

DSC_0242

Mwl Risa Nkya akiwa darasani akiwafundisha wanafunzi wa darasa la tatu  kwenye shule ya Msingi Nyankumbu iliyopo Halmashauri ya mji wa Geita huku wanafunzi wakiwa ni wengi zaidi darasani hali ambayo imepelekea wengine kukaa chini.    Nje ya shule ya Msingi Nyankumbu baadhi ya madawati yakiwa yamebebanishwa kutokana na uhaba …

Read More »

SALAMU ZA PONGEZI KUTOKA KWA DKT. MWAKYEMBE

pic+mwakyembe+kusaidia+ZFA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) amewapongeza Ndg. Dotto Rangimoto na Ndg. Ali Hilal Ali kwa kushinda tuzo za mashindano ya Kimataifa ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika ya mwaka 2017 yanayoandaliwa na Chuo Kikuu cha Cornell nchini Marekani kwakushirikiana na Kampuni ya …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

images

MTU MMOJA AMEUAWA NA KUNDI LA WATU WALIOJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWA TUHUMA ZA WIZI WA SIMU YA MKONONI NA MKOBA WENYE VITU MBALIMBALI WILAYANI NYAMAGANA.     KWAMBA TAREHE 15/01/2018 MAJIRA YA SAA 06:45HRS ASUBUHI KATIKA MTAA WA KASESE ULIOPO KATA YA MKOLANI WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA …

Read More »

KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA NA KAMATI YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA( PIC) WAENDELEA NA VIKAO VYAKE LEO MJINI DODOMA

KAMATI PIC 2

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mheshimiwa Lolensia Bukwimba akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo ambapo imekutana na uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  kwa ajili ya kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji wa …

Read More »

ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYA YA RORYA MKOANI MARA

PMO_7677

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Nati Hassan mmoja wa wazazi waliojifungua wakati alipotembelea wodi ya wazazi ya Kituo cha Afya cha Kinesi wilayani Rorya Januari 16, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi baada ya kukagua Kituo cha Afya cha Kinesi wilayani Rorya  Januari 16, 2017. Kulia kwake …

Read More »

WAHUJUMU WA MIRADI YA MAJI MARA KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA

PMO_7783

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Utegi wilayani Rorya wakati alipolazimika kuasimama baada ya kuona umati mkubwa watu waliokuwa na shauku ya kumuona na kuksikiliza Januari 16, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ………………….   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watendaji wote watakaobainika kuhujumu ujenzi …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

v5

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inapenda kuutaarifu umma wa watanzania kuwa, kutakuwa na kikao cha kawaida cha Baraza la Vyama vya Siasa, kitakachofanyika   Januari 18, 2018 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi. Kikao hichokitafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mkwawa, uliopo katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Barabara …

Read More »

Bei Elekezi Mpya Kuwafaidisha Wauza Mbolea Rukwa

Albinus Mgonya

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Albinus Mgonya  ………………. Wauzaji wadogo wa mbole Mkoani Rukwa wamesifu juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuhakikisha wakulima wanapatiwa mbolea kwa wakati na kwa bei elekezi inayoendana na maeneo husika ambayo mbolea hiyo inasambazwa kuanzia ngazi ya Wilaya, Kata hadi Vitongoji. …

Read More »

Mitambo ya Kisasa Kutumika Kusafisha Maji Taka Dar

6

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), Shabani Mkwanya, wakati akikagua mashine ya kusukuma majitaka, na mradi wa ujenzi wa mtambo wa kusafisha majitaka unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka DaresSalaam (DAWASA). Mkuu …

Read More »