Monday , October 22 2018

Home / MCHANGANYIKO / TAFITI YA MKAGUZI MKUU WA MFUKO WA HESABU ZA SERIKALI AGUNDUA KASORO KATIKA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNO YA AMALI NA AFYA ZANZIBAR

TAFITI YA MKAGUZI MKUU WA MFUKO WA HESABU ZA SERIKALI AGUNDUA KASORO KATIKA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNO YA AMALI NA AFYA ZANZIBAR

O4 (1)

Na Ali Issa Maelezo  

Tafiti ya mkaguzi mkuu wa mfuko mkuu wa hesabu za serikali umegundua kasoro katika wizara ya elimu na mafuzo ya amali wizara ya Afya Zanzibar kupotea pesa za serikali kwa uzembe wa badhi ya waliopewa dhamana katika sehemu zao za kazi kushindwa kuwajibika.

Hayo yamesemwaleo huko ikulu Zanzibar na katibu mkuu kiongozi AbdullHamid Yahaya mzee wakati akizungumza na wandishi habari ofisini hapo.

Alisema kumekuwa na uzembe pale ambapo mtumishi wa umma anapostaafu,kwendalikizo bilaamalipo,pesa za srikali kuendelea kupokewa mishahara hewa kwa watu ambawo hawaesabiki tena kupokea mishahara kazini nakuendelea kulipwa kituambacho nitatizo.

Amsema katika ukaguzi uliokuwa ukifanywa katika wizara yaelimu na mafuzo ya amali uligunduliwa zaid ya milioni 145 zililipwa kwawatu waliokuwa wamestafu na waliochukua likizo bilamalimalipo kituamabacho hawakustahiki kuchukua pesa hizo.

Amsema jambo hilo lilitokea kwa uzembe kwa tasisi tatu ambapo ni, Wizara ya elimu ,Utumishi waumma na utawalabora na wizara yafedha kwani wao ndio wanao maalaka hayo ya ushirikiano kwa mfanya kazi juu yakustaafu na mishahara yake.

“Mtafiti aligundua zaidi ya milioni 145 ziliingizwa kaitka mishahara kwa watuwaliokuwa hawastahiki kulipwa na baadhi yao wametumia ”,alisema katibu kiongozi.

Aidha alisema kuwa pesa hizo walilipwa watu 46 ambao kati yao walikuwa wamestaafu nakuchukuwa likizo bilamalipo kutokuwepo nchini kwa mamboyao binafsi na pesa hizo kupokewa na jamazao.

“Wizara yaelimu walikuwa jumla ya watu 46 ambao hawakustahiki kulipwa walipokea pesa hizi”aliongeza kusema katibu.

Hata hivyo katibu huyo alisema kuwa watu hawo wamegungulikana waliochukuwa pesa hizo ijapokuwaalishindwa kuwataja nakusema kuwa badhiyao wamerejesha pesa hizo na kilicholipwa  hadi sasa kufikia zaidi mioni 82 ,wapowaliomaliza na wengine wanaendelea kulipa.

Pia katibu alisema kuwa kwa upande wa wizara ya Afya iligundulika kesi moja ya mtu aliosaini mshahara wa wadaktari mgeni kutoka  Nchini Quba  ambaye alikuwa ameshondoka kwa kumaliza muda wake,lakini mtuhuyo alisubutu kutia saini na kuchukuwa mshahara kituhicho nikosa kwa mfanyakazi na mtuhuyo atachukuliwa hatuwa za nidhamu.

Alisema kwa upande wa wizara yakilimo marejesho ya utafiti hayakubaini kasora kwani waliokuwa hawaonekani baadae waligundulikana kuwa wako masomoni nje ya nchi mtafiti mkuu wa hesabu za serikali aliridhika.

Katibu alisema pamoja nayote hayo wapo wafanyakazi 28 ambao wamefukuzwa kazi wizara ya kilimo kwamakosa hayo na watachukulia hatuwa kali wote walioingia hatiani kusababsha upotevu wa fedha za serikali kizembe.

Katbu aliwataka watumishi wenye malaka kuwajibika kwa nidhamu juu upotevu wa fedha za serikali na sasa wanamalizia uchunguzi unao fanywa nabadae hatua zitachukuilwa kwa watu hao

About Alex

Check Also

index

Serikali Yawataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri Zote Nchini Kuhakikisha Wanatokomeza Malaria

Na, Paschal Dotto- MAELEZO 22.10.2018 Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya  Jamii, Jinsia, Wazee …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

fourteen + 13 =