Monday , October 22 2018

Home / MCHANGANYIKO / ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYA YA RORYA MKOANI MARA

ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYA YA RORYA MKOANI MARA

PMO_7608

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Nati Hassan mmoja wa wazazi waliojifungua wakati alipotembelea wodi ya wazazi ya Kituo cha Afya cha Kinesi wilayani Rorya Januari 16, 2017.

PMO_7655

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi baada ya kukagua Kituo cha Afya cha Kinesi wilayani Rorya  Januari 16, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.

PMO_7677

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Nyamungo wilayni Rorya, Juma Wilfred baada ya kuzungumza na wananchi wakati alipokagua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kinesi Januari 16, 2017

PMO_7707 PMO_7720

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Nyamungo wilayni Rorya, Juma Wilfred baada ya kuzungumza na wananchi wakati alipokagua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kinesi Januari 16, 2017.

PMO_7740

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mkuu wa Kituo cha wilaya cha Kipolisi cha Kinesi  wilayani Rorya, SSP Juma Wilfred Majula (wapili kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho  na kuvutiwa na juhudi ziizofanywa na Mkuu huyo wa Polisi za kujenga kituo hicho bila kusubiri fedha za serikali Januari 16, 201.. Waziri Mkuu aliendesha harambee ya papo kwa papo  na kufanikiwa kupata shilingi milioni 20 za kumalizia jengo jipya la kituo hicho.  Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Tarime na Rorya, David Mwaibambe.

PMO_7783 PMO_7787

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Utegi wilayani Rorya wakati alipolazimika kuasimama baada ya kuona umati mkubwa watu waliokuwa na shauku ya kumuona na kuksikiliza Januari 16, 2017.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

About Alex

Check Also

SUM

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya

Mkurugenzi wa manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya.   ………………………………………………………………………………….. Mkurugenzi wa Mnaispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two + 2 =