Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 18

Daily Archives: January 18, 2018

SIMBA YATANGAZA RASMI KOCHA MPYA KUTOKA UFARANSA

lechantre-1-1

Club ya wekundu wa Msimbazi Simba leo Alhamisi ya January 18 2018 imetangaza kufanikiwa kumpata mrithi wa kocha Josep Omog aliyefutwa kazi wiki kadhaa zilizopita kwa kushindwa kuuridhisha uongozi katika suala zima la mwenendo wa timu. Simba Sports Club Dar es salaam 18/01/2018. TAARIFA KWA UMMA Klabu ya Simba inayo furaha …

Read More »

AZAM YAMINYWA NA MAJIMAJI, YAKUBALI SARE YA 1-1

271A6025

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Majimaji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika leo mchana kwenye Uwanja wa Majimaji, mjini Songea mkoani Ruvuma. Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha pointi 27 na kuwa katika nafasi …

Read More »

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

PMO_8869

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la mto Mara linalounganisha  wilaya za Tarime na Serengeti akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 18, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu  ………………… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa …

Read More »

Makamu wa Rais Aagiza Kupitiwa Upya Usajili wa Meli

M0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo Jijini Dar es Salaam kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kufuatia kukamatwa kwa Meli zenye Bendera ya Tanzania zikiwa zimebeba Silaha na Madawa ya kulevya katika maeneo ya Ubelgiji na Jamhuri …

Read More »

WANAOISHI MAENEO HATARISHI KUHAMISHWA CHEMBA

????????????????????????????????????

Mkuu wa wilaya ya Chemba ,Simon Odunga akifafanuajamba wakati kamati ya maafa ya wilaya nakata ya Mrijo walipokutana na wataalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajiliya tahmini ya athari zamaafa ya mafuriko katika  katika wilaya hiyo. Muonekano wa sehemu ya soko wilayani Chemba ambapo ni eneo mabalo wilaya hiyo …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA TARIME NA SERENGETI

PMO_8656

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamongo wilayani Tarime Januari 18, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguma na wananchi  wa Kijiji cha Nyamwaga wilayani Tarime akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara , Januari 18, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la …

Read More »

Profesa Mbarawa awataka TPA kukamilisha na kuhamia jengo jipya

tpa7

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko (kulia)akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Mbarawa (kushoto) alipokagua jengo jipya ‘One Stop Centre’ la TPA leo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo  kwa Naibu Mkurugenzi wa TPA (Miundombinu), Eng. …

Read More »

SERIKALI KUMALIZA MGOGORO WA NYAMONGO-MAJALIWA

PMO_8548

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kumaliza mgogoro ulipo kati ya wananchi wa Kata ya Nyamongo na muwekezaji wa mgodi wa North Mara. Amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi pamoja na mwekezaji wa mgodi huo wanaishi na kuendesha shughuli zao za kimaendeleo kwa kufuata sheria za nchi. Ametoa …

Read More »

MAADHIMISHO YA SIKU YA POSTA AFRIKA LEO TAREHE 18 JANUARI, MWENYEKITI WA BODI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), DK. HARUN KONDO ATOA SALAMU ZAKE

IMG_0190

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Haruni Kondo akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akitoa salamu zake katika kuadhimisha Siku ya Posta Afrika leo, Januari 18, 2018. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com) …

Read More »

RC NDIKILO AWAPA ONYO WARATIBU WA ELIMU KATA /AWATAKA KUJIKITA KWENYE AJIRA YAO ILI KUINUA TAALUMA MKOANI PWANI

IMG-20180118-WA0095

Kaimu afisa elimu sekondari halmashauri ya Chalinze ,Irene Lubega akimkabidhi ripoti ya taarifa ya mahudhurio ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mashuleni hadi sasa ,mkuu Wa Mkoa Wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo,ambapo mahudhurio hayaridhishi kimkoa bado yakiwa chini ya asilimia 50 Kaimu afisa elimu sekondari halmashauri ya Bagamoyo …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA SINGIDA LEO OKWI,MANULA WAREJEA

simba-2017

1. Aishi Manula 2. Nicholas Gyan 3. Eresto Nyoni 4. Asante Kwasi 5. Juko Mushidi 6. Jonas Mkude 7. Jems Kotei 8. Mzamiru Yasin 9. Mwinyi Kazimoto 10. John Boco 11. Shiza Kichuya WACHEZAJI WA AKIBA -Emanuel Mseja -Said Hamis -Mohamed Ibrahim -Mothes Kitandu -Emanuel Okwi -Mohamed Husen -Yusufu Mlipili

Read More »

KIKOSI CHA SINGIDA DHIDI YA SIMBA LEO KUTINYU NDANI

35FE5383-FEA9-4041-AEC3-9C8C7A8FA221

1. Peter Manyika Jr 2. Michael Rusheshangoga 3. Shafiq Batambuze 4. Kennedy Wilson 5. Maliki Antiri 6. Mudathiri Yahya 7. Deus Kaseke 8. Tafadzwa Kutinyu 9. Lubinda Mundia 10. Kambale Gentil 11. Kigi Makasi SUB: Ally Mustapha Miraj Adam Salum Chuku Salum Kipaga Kenny Ally Elimwisia Sumbi Yusuph Kagoma

Read More »

WADAU WAJADILI MTAALA WA MAFUNZO KWA VYUO VYA USTAWI

????????????????????????????????????

Kamishna Msaidizi  Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawke na Watoto Simon Panga akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa wadau wa Ustawi wa Jamii kutengeneza mtaala wa Ustawi wa jamii kwa vyuo vinavyofundisha masuala ya Ustawi katika ngazi ya Cheti na …

Read More »

MAAZIMIO YA MKUTANO KATI YA SMZ NA SMT KUSHUGHULIKIA MELI ZINAZOPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA SILAHA NA MADAWA YA KULEVYA, TAREHE 17 JANUARI 2018

4

  Ndugu Waandishi wa Habari, nimewaita hapa kuzungumza nanyi na kupitia kwenu kuzungumza na wananchi wenzangu kuhusu taaarifa ya kukamatwa kwa meli zilizokuwa zimepakia shehena za dawa za kulevya na silaha zikiwa zinapeperusha bendera ya nchi yetu.   Meli hizo ni: Kaluba yenye usajili namba IMO 6828753 iliyokamatwa tarehe 27 …

Read More »

KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU KATIKA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA MAGEREZANI WA MIKOA TISA YA KIMAGEREZA KATIKA OFISI ZA ENVIROCARE.

Pix 4

Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Afande Gaston Sanga (aliyevaa suti) akiingia Makao Makuu ya Envirocare na kupokewa na Mgurugenzi wa kituo hicho Bi Loyce Lema (wa pili toka kushoto). Wa kwanza kulia ni Meneja mradi bi Catherine Jerome na wa kwanza kushoto ni mwanasheria wa Jeshi …

Read More »

WATOTO WENYE SHIDA WAFAIDIKA NA BIMA YA AFYA

????????????????????????????????????

Wageni wa Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini wakiangalia moja ya mradi wa ufugaji unaofadhiliwa na na Mfuko wa Abbot Tanzania katika Makao ya Taifa Dar es Salaam  aliye katikati ni Makamu wa Rais wa Mfuko wa Abbot  Bi. Jenna Daugherty. Baadhi ya watoto wa Makao ya Taifa ya Watoto …

Read More »