Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 19

Daily Archives: January 19, 2018

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AZITAKA TAASISI MBALIMBALI KUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI

IMG-20180119-WA0077

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amezitaka taasisi mbalimbali,makampuni na Viwanda kusaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wenye Ulemavu nchini. Mavunde ameyasema hayo leo katika Ukumbi wa Rugambwa,Oysterbay-Dar es salaam wakati akikabidhi miguu bandia 126 kwa watu wenye ulemavu iliyotolewa na Taasisi …

Read More »

Serikali Yapata Mzabuni Mpya wa Kuagiza Mbolea

PIX2-5

   Na. Fatma Salum, MAELEZO Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) imepata mzabuni mpya ambaye ataagiza tani elfu ishirini za mbolea ya kukuzia aina ya UREA inatarajiwa kuingia nchini mwezi Februari mwaka huu. Akizungumza katika kikao cha ufunguzi wa zabuni kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi …

Read More »

KILIMANJARO MARATHON 2018 YAZINDULIWA RASMI MOSHI

url

Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 ambayo ni ya 16 tangu kuanzishwa kwake, imezinduliwa rasmi Kibo Palace Homes kwa kushirikisha wadhamini, Chama Cha Riadha Mkoa wa Kilimanjaro (KAAA) na waandaaji wa mbio hizo. Akizindua mbio hizo, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh. Anna Mghwira aliwapongeza wadhamnini na waandaaji wakiongozwa na Kilimanjaro …

Read More »

KOCHA MPYA SIMBA ATAMBULISHWA RASMI AZUNGUMZA MANENO HAYA

20180119_151925-640x480

Klabu ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, leo mchana imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Raia wa Ufaransa, Pierre Lichantre, ili kuanza kuinoa Klabu hiyo baada ya kuachana na aliyekuwa kocha wao, Mkameruni Joseph Omog. Kocha Pierre Lechantre ametambulishwa  katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Movenpick jijini …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA SERENGETI NA BUNDA

PMO_9612

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwakabidhi  hati ya usajili wa chama viongozi  wa chama cha ushirika cha Igembe Sabo cha Bunda , Malongo Mashimo ambaye ni Katibu (kulia) na Maria Nengwa ambaye ni Mwenyekiti wa Ujenzi baada ya  kuzindua ushirika huo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara, Januari 19, 2018 …

Read More »

KIGANJA “SIO KILA MGOGORO UNAOTOKEA KATIKA KLABU UNAKWENDA BMT”

IMG_2889

Katibu wa Baraza la Michezo Taifa (BMT) Mohammed Kiganja amesema Elimu aliyoipata ya stashahada ya juu ya mambo ya mahusiano ya kimataifa, ataitumia vyema kuweza kutatua migogoro inayoendelea na kuibuka katika vyama mbalimbali vya Michezo pamoja na klabu, ili kuhakikisha michezo inaendelea kustahimili hapa Nchini. Katibu kiganja ameyasema hayo leo …

Read More »

TFF YAMFUNGIA MAISHA MSIMAMIZI WA KITUO CHA MTWARA

IMG-20180119-WA0030-640x427

Kamati ya Maadili iliyokutana Januari 18, 2018 imepitia shauri lililowasilishwa na Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF wakiwatuhumu viongozi wanne kwa makosa ya kughushi na udanganyifu wa mapato kwenye mchezo namba 94 kati ya Ndanda FC na Simba uliochezwa Disemba 30,2017.   Shauri la kwanza lililomuhusu Katibu …

Read More »

SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA

PMO_9246

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imekataza kilimo cha pamba cha  mkataba kwa sababu kinawanyonya wakulima. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Januari 19, 2018) wakati akizungumza  na wananchi baada ya kukagua zahanati ya Hunyari wilayani Bunda, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mara. “Ni marufuku kwa wanunuzi wa pamba kulima pamoja …

Read More »

USAJILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU

WhatsApp Image 2018-01-13 at 06.43.28

Mzee Tarmo Naita wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu mkoani Manyara akiweka vidole katika mashine ya Usajili BVR ikiwa ni sehemu ya hatua ya pili ya Mwombaji kuchukuliwa alama za kibaiolojia. Mzee Nayhan Hhando mwenye miaka 79 mkazi wa Kitongoji cha Ampe akipigwa picha kwa kutumia Mashine za Usajili Vitambulisho …

Read More »

SHONZA:HATUTORUDI NYUMA KATIKA KUSIMAMIA MAADILI

A

Naibu Wazir wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akizungumza viongozi wa taasisi ya Malezi Bora Foundation inayoundwa na wasanii wa filamu nchini (hawapo pichani) walipomtembelea ofisini kwake leo mjini Dododma. Kulia ni mtunza fedha wa taasisi hiyo Bi. Susan Natasha. Naibu Wazir wa Habari, Utamaduni, Sanaa …

Read More »

DEIPLACES KUJA NA MBINU MPYA YA KUKUZA UTALII

2629629

Na Florah Raphael. Dei Group International Ltd imezindua mtandao wa kijamii utakaokuwa unatoa taarifa mbalimbali kuhusiana Na mambo ya kiutalii ili kukuza Na kuilinda sekta ya Utalii. Mtandao huo utakaofahamika Deiplaces Tanzania utakua ukitoa taarifa mbali mbali za Utalii ili kuongeza watalii wa ndani Na nje ya nchi kwani kupitia …

Read More »

TIMU 10 KUSHIRIKI MASHINDANO YA KUONGELEA YA YOSO

yoso 1

waogeleaji wakipambana katika mashindano yaliyopita ya yosso Waogeleaji Yoso wakifanya mazoezi kwenye bwawa la shule ya Kimataifa ya Dar es Salaam International Academy (DIA) Kocha wa kuogelea, Radhia Gereza (kulia) na Adam Mapunda wakiwafundisha waogeleaji chipukizi kwenye bwawa la DIA Waogeleaji chipukizi wakichuana ………………. Na Mwandishi wetu Jumla ya timu …

Read More »

TANROADS WAAGIZWA KULETA MZANI MAKAMBAKO

2

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akizungumza na wafanyakazi wa mzani wa Makambako, wakati alipotembelea mzani huo kufahamu changamoto wanazozipata katika utendaji wao wa kazi, Mkoani Njombe. Muonekano wa mzani wa Makambako, mkoani Njombe, wenye uwezo wa kudhibiti uzito wa magari makubwa yanayozidi 3500kg (tani 3.50). ………………. Naibu Waziri wa …

Read More »