Friday , March 22 2019

Home / 2018 / January / 20

Daily Archives: January 20, 2018

WAZIRI MWAKYEMBE AWATEMBELEA SERENGETI BOYS

IMG-20180120-WA0015-640x427

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe leo amewatembelea wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys waliopo kambini kwenye hostel za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zilizopo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. …

Read More »

MTANDAO WA DEIPLACES KUKUZA UTALII NCHINI TANZANIA

PC1b

Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Dei Group International Dkt. Paul Bamutaze akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Mtandao wa Kijamii wa DEIPLACES unatumika katika kutangaza vivutio vya Utalii jana Jijini Dar es Salaam. Meneja Bidhaa ya DEIPLACES toka Kampuni ya Dei Group International Moses Matovu akisisitiza jambo wakati wa …

Read More »

SEKTA BINAFSI YARIDHISHWA NA UHUSIANO WAKE NA SERIKALI

IMG_9460

Baadhi ya Wawekezaji na wageni kutoka Taasisi za Kimataifa walioshiriki Mkutano wa tatu wa majadiliano kati ya wadau wa Sekta Binafsi na Sekta ya Umma uliofanyika mjini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Salum Shamte, akizungumza wakati wa mkutano wa tatu kati ya Sekta Binafsi …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA LA JKT RWAMKOMA

PMO_0075

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakati alipotembelea shamba la kuzalisha mbegu bora ya mhogo  aina ya mkombozi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ya Rwmkoma wilayani Butiama, Januari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama  …

Read More »

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MKURUGENZI WA MUWASA KWA TAKUKURU

PMO_9914

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameamuru Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji Mkurugenzi Mtendani wa Mamlaka ya Maji Musoma (MUWASA) Mhandisi Gantala Said kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mradi wa maji Bunda. Mbali na Mkurugenzi huyo pia TAKUKURU inawashikilia wakandarasi wanaojenga mradi huo ambao ni …

Read More »

WAZIRI DKT. MWAKYEMBE AITEMBELEA TIMU YA SERENGETI BOYS KAMBINI

IMG-20180120-WA0010

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Dr. Harrison Mwakyembe, Leo Jumamosi Januari 20, 2018 ameitembelea timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 16 Serengeti Boys iliyopo kambini kwenye hostel za Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF na kuwaachia ujumbe wa Serikali.  Dr. Mwakyembe …

Read More »

SHIMIWI kutekeleza agizo la Makamu wa Rais

temba2

Uongozi mpya wa Shirikisho la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Mount Uluguru mkoani Morogoro. …………………………………………………………………………… Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), litatekeleza agizo la Makamu wa …

Read More »

KWANDIKWA: BARABARA ZA MCHEPUO KUPUNGUZA MSONGAMANO DODOMA

????????????????????????????????????

…………………………………………………………………………. Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amesema kuwa ujenzi wa barabara ya Mbande – Kongwa (Km 11.7) na Chimwaga – Ihumwa (Km 10) utasaidia kupunguza msongamano kwa magari yanayoingia Dodoma mjini. Naibu Waziri huyo ameyasema hayo wakati akikagua barabara hizo na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wake ambapo amesisitiza …

Read More »

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MKURUGENZI WA MUWASA KWA TAKUKURU

PMO_9914

   Mkurugenzi Mtendaji wa Mamalaka ya Maji Musoma, Mhandisi Said Gantala (kushoto) akitoka kwenye ukumbi wa Balili Rock Resort  mjini Bunda baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuamuru kuwa akamatwe na ahojiwe na TAKUKURU Januari 19, 2018.Kulia ni Kamanda wa TAKUKURU  wa mkoa wa Mara, Alex Kuhanda. Picha na Ofisi …

Read More »

WATUMISHI NA MADIWANI SHIRIKIANENI-MAJALIWA

PMO_9764

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Saba Saba katika mji mdogo wa Bunda Januari 19, 2018. Baadhi ya wananchi wa mji mdogo wa Bunda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Saba Saba katika mji mdogo wa Bunda …

Read More »