Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 21

Daily Archives: January 21, 2018

MABALOZI WATANO WAWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO

mahi

Balozi Mteule wa Ugiriki nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Konstantinos Moatsos (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga kabla ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho leo jijin Dar es Salaam. Balozi Mteule wa Ugiriki nchini Tanzania …

Read More »

ZANA ZA UVUVI HARAMU ZA MAMILIONI ZATEKETEZWA GEITA

onli

Baadhi ya wananchi wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa  zana haramu za uvuvi  kwenye Kijiji cha Nkome Wilayani Geita .   Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akielezea mikakati ya wilaya ya kuhakikisha wanapamba zaidi na vitendo ambavyo vimeendelea kufanywa na wavuvi ambao awana mapenzi mema na samaki waliomo kwenye …

Read More »

DK.MABODI ATAKA WANANCHI WAWAOMBEE ASKARI 10 WALIOUAWA KONGO.

BO1

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi ‘ akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kumaliza Khitma na Dua za kuwaombea Askari wa JWTZ waliouawa nchini Kongo miezi ya hivi karibuni. NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar  Dk.Mabodi na viongozi wengine wakiwa katika kisomo. ………………………………………………………………………………………………… NA …

Read More »

DK.MABODI AWATAKA WASOMI WA CCM KUFANYA TAFITI ZA KUISAIDIA CCM

IMG_0753

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Seneti ya Unguja uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. …………………………………………………………………………………….. NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewaagiza  vijana wasomi wa Chama hicho kuanzisha utamaduni wa kufanya …

Read More »

TAYARI SANCHEZ NI MCHEZAJI WA MAN UNITED, MKHITARYAN ARSENAL

4859526600000578-5292321-image-a-3_1516468719447

Mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya Manchester United Henrikh Mkhitaryan amekubali kujiunga na timu ya Arsenal, huku Alexis Sanchez akitarajiwa kuhama upande wa pili. Mkhitaryan, mwenye umri wa miaka 28,ambaye ni raia wa Armeniaatafanyia ukaguzi wa kimatibabu Leo Jumapili au kesho Jumatatu, huku Sanchez mwenye umri wa miaka …

Read More »

Maandalizi ya Ujio wa FIFA Yapamba Moto

PIX 2

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) (hawapo pichani) unaotarajia kufanyika nchini mwezi Februari 2018  kuhakikisha maandalizi yanakuwa mazuri ili ujio huo uwezekuletea manufaa kwa taifa  katika kikao …

Read More »

WATANZANIA TUMSAIDIE MSANII WASTARA KUWEZA KUPATA MATIBABU

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akimsikiliza kwa makini Msanii Wastara Issa aliyeketi chini alipokuwa akimweleza namna mguu wake huo unavyomuuma na ni kwa muda gani amekuwa akisumbuliwa na tatizo hilo jana alipomtembelea nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es Salaam kumjulia hali …

Read More »

WAZIRI MKUU AMUAGIZA RAS MARA KUKAGUA HALMASHAURI YA BUTIAMA

PMO_0600

*Aagiza DED, DT na Ofisa Manunuzi wachunguzwe *Ni kutokana na matumizi yasiyoeleweka ya fedha za miradi   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Bw. Raphael Nyanda kutuma timu ya wakaguzi kwenda kufanya ukaguzi maalumu katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Butiama. …

Read More »

COASTAL UNION ‘WAGOSI WA KAYA’ WATOA UFAFANUZI JUU YA MADAI YA TIMU NYINGINE KUWA WANABEBWA LIGI DARAJA LA KWANZA

image

Na Hafidh Kido, Moshi KWA nafasi yangu ya msemaji wa timu ya Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ ninatakiwa kusafiri na timu popote iendapo lakini kutokana na majukumu mengine nashindwa kutenda haya. Lakini nilijiapiza mechi baina ya Wagosi na Polisi Tanzania iliyochezwa mjini Moshi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika lazi.a …

Read More »