Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 22

Daily Archives: January 22, 2018

SCORPION AHUKUMIWA JELA MIAKA 7,FAINI 30M

IMG_20180122_170112_560

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 22, 2018 imemhukumu mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za Kibongo, Salum Njwete maarufu Scorpion miaka saba jela kwa kosa la kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho, pia mahakama imemtaka …

Read More »

BILIONI 3 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI MKOANI GEITA ZINATARAJIWA KUBORESHA MIUNDOMBINU KATIKA VITUO SABA VYA AFYA

DSC_0527

Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akishiriki kuchimba msingi kwenye kituo cha afya cha Masumbwe Wilayani Mbongwe.   Wananchi wakishiriki kwenye ujenzi wa msingi kwenye kituo cha afya cha Masumbwe Wilayani Mbongwe.   Mkuu wa Wilaya ya Mbongwe ,Mathar Mkupasi akizungumza na wananchi ambao walikuwa wamejitokeza kuunga mkono jitihada …

Read More »

Israel kusaidia Ujenzi Wa Kitengo Cha Dharura Hospitali Ya Benjamin Mkapa

719A1910

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Dkt. Otilia Flavian Gowelle akiwa katika mazungumzo na Naibu Balozi wa Israel nchini, Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-qformat:yes; mso-style-parent:””; mso-padding-alt:0in …

Read More »

USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA BUTIAMA – MARA

IMG_8112

Baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Rwamkoma wakiwa katika kituo cha uandikishaji Vitambuisho vya Taifa wakishubiri kukamilisha zoezi la usajili. Bw. Ezekiel Midamo (mwenye koti jeupe) mzazi wa Bw. Jared Ezekiel (anayejaza fomu) wakazi wa kijiji cha Rwamkoma, akimuelekeza kijana wake namna ya kujaza fomu wakati wa zoezi la usajili …

Read More »

WANANCHI BUGURUNI MNYAMANI WAANZA KUPATA NAFUU

sele (1)

Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa Buguruni kuhusu wilaya hiyo ilivyojipanga kutekeleza maagizo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa Buguruni Mnyamani. …………………………………………………………………………… Wananchi wa Buguruni Mnyamani na Vingunguti …

Read More »

TIgo wakabidhi zawadI kwa washindi wa promosheni ya mawakala.

tif

Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akimkabidhi mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Mil 2 mshindi wa kwanza wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Hassan Kusaga ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo  ilianza Desemba 1,mwaka jana …

Read More »

MIFUKO 3000 SARAJI YACHANGWA KUKAMILISHA USHINDI SEMINARI.

TAG INCON NEW

NA TIGANYA VINCENT- RS-TABORA VIONGOZI mbalimbali wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) na Seriakali Mkoani Tabora wameahidi kutoa mifuko 3000 ya saruji kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Shule ya Seminari ya Ushindi inayojengwa katika eneo la Kipalapala kwenye Manispaa ya Tabora. Akizungumza jana mjini Tabora kabla ya …

Read More »

MGALU AMEIAGIZA TANESCO PWANI KUHAKIKI NGUZO 120 ZILIZOTELEKEZWA CHINI MIAKA MITATU HUKO KIJIJI CHA VISEZI NA KONGO

IMG_20180121_142613

Naibu Waziri Wa Nishati ,Subira Mgalu mwenye kitambaa chekundu kichwani ,akiwa ameambatana na mbunge wa jimbo la Bagamoyo.Dk.Shukuru Kawambwa wa pili kushoto na wengine ni viongozi mbalimbali wa kijiji cha Kongo na kata ya Yombo wakati alipokwenda kutembelea maeneo yanayotekelezwa mradi wa umeme vijijini (REA )awamu ya III ,ambapo amejiridhisha …

Read More »

MALI ZA CHAMA CHA USHIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA

PMO_7009_1

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itatuma wakaguzi ili wakague mali za Chama cha Ushirika cha mkoa wa Mara. Amesema Serikali imeanza kufuatilia mali za vyama vya Ushirika nchini zikiwemo za chama cha Ushirika mkoa wa Mara. Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) katika kikao cha …

Read More »

Tatizo la Maji Dar na Pwani Laanza kuwa Historia.

????????????????????????????????????

…………………………………………………………………………………. Na  Mwandishi Wetu Utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji na Usambazaji maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani umefikia asilimia 72.2 ambapo unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Februari mwaka huu. Hayo yamebainika hivi karibuni wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji, Mifugo, na Kilimo  iliyoongozwa …

Read More »

WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA

2

Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Bi. Elizabeth Tagora akifungua rasmi kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Kikao cha wadau kuhusu mapitio ya Sera ya Ujenzi ya mwaka 2003 na uwasilishwaji wa rasimu ya Sera ya Ujenzi na Mkakati wa …

Read More »

RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

PMO_1014

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa  wahakikisha wanatokomeza uvuvi haramu katika ziwa Victoria. Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) wakati akizungumza na viongozi wa mkoa huo katika kikao cha …

Read More »

WAJASILIAMALI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO YA SIDO KIKAMILIFU

mu

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana akiongea na wajasiliamali mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akifunga mafunzo yaliyokuwa yameandaliwa na SIDO jijini Dar es Salaam yenye lengo la kuwajengea uwezo na kuzipa thamani bidhaa wanazozitengeza. Pembeni yake ni Meneja wa SIDO Dar es Salaam, McDonald Maganga. Picha na Cathbert …

Read More »

HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR

1

 Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Elizabeth Masao akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre vilivyotolewa na kikundi cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni. (Na Mpiga Picha Wetu).  Mwenyekiti wa Jogging Club Kinondoni Majani …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI SITA WA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi mteule wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos wakati alipokuwa akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi …

Read More »