Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / January / 23

Daily Archives: January 23, 2018

MKHITARYAN ALIVYOANZA MAISHA MAPYA NDANI YA ARSENAL

487FE4C200000578-5302529-The_Armenian_midfielder_trained_with_his_new_team_mates_for_the_-a-6_1516716025809-1

Mchezaji mpya wa Arsenal, Henrikh Mkhitaryan akifanya mazoezi na wenzake kwa mara ya kwanza leo asubuhi kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa kubadilishwa na Alexis Sanchez aliyehamia Manchester United. Nyota huyo wa Armenia amepewa jezi namba saba ambayo alikuwa anavaa Sanchez PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

RC MASENZA AZIPIGA JEKI SHULE TANO MKOANI IRINGA

IMG_0123

 Mkuu wa mkoa Amina Masenza akiwa na viongozi mbalimbali wakikagua moja ya shule ya sekondari ambayo inajengwa kwa nguvu za wananchi na serikali kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu mkoani Iringa  Mkuu wa mkoa Amina Masenza akiwa na viongozi mbalimbali wakikagua moja ya shule ya sekondari na akiuliza kitu …

Read More »

CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU

the-newly-elected-confederation-of-african-football-president-ahmad-ahmad-addresses-a-news-conference-after-his-victory

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu(Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo huo unatekelezeka ipasavyo kwa kuanzia na mtazamo wa vigezo vya miundo mbinu. Wakati wa miaka …

Read More »

SERIKALI KUENDESHA MNADA WA HADHARA WA MENO YA VIBOKO JANUARI 29 JIJINI DAR ES SALAAM

20140930_122531

Mnada huo utafanyika katika Jengo hili la Mpingo (Mpingo House) ambalo awali lilikuwa Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii kabla ya kuhamia Makao Makuu ya Nchi mjini Dodoma.  Na Hamza Temba – WMU- Dodoma ………………………………………………………….   *Wanunuzi wataruhusiwa kuyakagua (Januari 25 na 26) kabla ya mnada   *Watakaovuruga …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKUTANA NA WATENDAJI WA ASASI YA INTERNATIONAL YOUTH FELLOWSHIP JIJINI DAR

PIX 1

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akiteta jambo Ofsini kwake  na Maafisa Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship(IYF), leo Januari 23, 2018 walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza ambapo Watendaji wa Asasi hiyo wamewalisha mada kuhusu mafunzo yanayolenga mabadiliko ya mitizamo kwa wafungwa katika kuachana na …

Read More »

BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kulia),  akizungumza na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya aliyefika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia wamejadiliana masuala …

Read More »

RC TABORA: MADIWANI SAIDIENI MAPATO YANAKUSANYWA KWA WINGI

RC-TBRR-1

NA TIGANYA VINCENT RS-TABORA MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri aliwataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kuhakikisha wanasimamia Watendaji katika maeneo yao ili kuongeza juhudi katika makusanyo kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato ili waweze kufikia au kuvuka lengo la asilimia 80 waliopangiwa. Mkuu huyo wa Mkoa alitoa …

Read More »

Tigo Yamwaga Mamilioni kwa Mawakala

YBY_8413

  Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari (katikati) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 mshindi wa promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa, Roida Kipinya mkaazi wa Newala, Mtwara katika hafla iliyofanyika katika ofisi za Tigo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Tigo Pesa,  Hussein Sayed. Jumla ya mawakala …

Read More »

WAGOMBEA 27 WATEULIWA MAJIMBO 2 KATA 4, MMOJA APITA BILA KUPINGWA

HAMIS MKUNGA

Hussein Makame-NEC WAGOMBEA 27 wa ubunge na udiwani wameteuliwa kugombea nafasi hizo katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Februari 17, mwaka huu katika majimbo mawili ya ubunge na kata nne. Katika uteuzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki,  mgombea udiwani kupitita CCM katika kata ya Kimagai iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya  Mpwapwa mkoani …

Read More »

SIKONGE WAPIGA CHAPA MIFUGO 198,681 HADI SASA

Ngombe

NA TIGANYA Vincent RS TABORA JUMLA ya ng’ombe na punda 198,681 wamepigwa chapa katika Halmashauri ya Sikonge hadi kufikia sasa ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali. Kiwango hicho ni sehemu ya matarajio ya Halmashauri hiyo ya kupiga chapa punda na ng’ombe 249,000 hadi mwisho wa zoezi hilo. Zoezi hilo …

Read More »

Rais Magufuli Mgeni Rasmi Siku ya Sheria Nchini

MH1

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya wiki ya sheria leo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia tarehe 27 hadi 31,Januari 2018.  Kushoto ni Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali na Mtendaji Mkuu wa …

Read More »

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

unnamed

  Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe, Sylvester Mabumba (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Comoro, Bw. Said Mohamed Omar (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group pamoja na …

Read More »

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUNGEZI BUTIAMA

magufuli-8

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleimani Jafo ametangaza kuwa, Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama mkoani Mara, Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza maamuzi hayo leo zikiwa zimepita siku …

Read More »

COMRADE NGEMELA LUBINGA AKAGUA MIRADI YA TASAF MARA

IMG-20180123-WA0041

Na Mwandishi Maalum, Tarime Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Comrade Ngemela Lubinga jana (22/01/2018) ameanza ziara ya ukaguzi wa miradi ya TASAF mkoani Mara. Ziara hiyo ni sehemu ya kufuatilia (monitoring) utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika mkoa wa Mara. Comrade Lubinga ameanza kwa kutembelea …

Read More »

United in Music at Sauti za Busara 2018 Zanzibar Tanzania

2

East Africa’s favourite music festival, Sauti za Busara is gearing up to for its 15th annual event celebrating music from across Africa in Stone Town, Zanzibar from 8 – 11 February 2018. With an array of artistes and groups that represent Africa’s diversity this has so many times proved to …

Read More »

DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI

index2

Siku moja baada ya ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Suleiman Jafo kukagua miradi ya maendeleo na kuagiza Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuhakikisha mabomba ya barabara ya Buguruni kwa Mnyamani yanaanza kutengenezwa mara moja,  Hatimaye Dawasco imechukua hatua …

Read More »